Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 15,930
- 14,827
Ndoroooboe 😂😂😂SI uyo manka,,nikimkumbuka nitakunong'oneza japo Ni kitambo kidogo aliomba msama lakini sura kavu kama dagaa
Ndoroooboe 😂😂😂SI uyo manka,,nikimkumbuka nitakunong'oneza japo Ni kitambo kidogo aliomba msama lakini sura kavu kama dagaa
Tatizo nini Bro unakosa acc Twitter na Insta?Ai wish Ningekuwa na akaunti ya twitter nikaone huyu mchaga anavyotetema
AminaMimi sijambo kabisa. Natumaini hata wewe mambo ni shwari. TUMSHUKURU MUNGU
Shule sasa zifunguliweWanaojihami wengi ndio hatari
Mara paap. Huyu ndo Fraggy dah !!!
ukizubaa unaweza kukuta ushawekwa kundi la andaeitini humu
Bwanake aliemuwowa kazaa nje
Kutetemesha matako yake ni kinyume cha sheria bro?
Inapobidi ni lazima kuweka mambo sawa aisee. Umenifurahisha sana sis japo sikutegemeaukizubaa unaweza kukuta ushawekwa kundi la andaeitini humu
Inapobidi ni lazima kuweka mambo sawa aisee. Umenifurahisha sana sis japo sikutegemea
Hiyo ni Business BroHapana bro lengo lake ni nini nataka nifahamu anakuwa ana Expect nini baada ya kuyatetemesha
humu inabidi kuweka mambo sawa ili watunza kumbukumbu wasije wakahifadhi records ambazo sio sahihiInapobidi ni lazima kuweka mambo sawa aisee. Umenifurahisha sana sis japo sikutegemea
She is better trust me,Mara paap. Huyu ndo Fraggy dah !!!
Japo sio andaeitini ila am forever youngWewe hutaki forever young kama ya Beyoncé
Hiyo ni Business Bro
Endeleeni kunijengea imeji mnazotaka tu.. Ili mradi mridhishe nyoyo zenu kwa yale mnayoyapenda!😄Mara paap. Huyu ndo Fraggy dah !!!
Pesa...pesa....pesaaaaa....Hapana bro lengo lake ni nini nataka nifahamu anakuwa ana Expect nini baada ya kuyatetemesha