Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

61186832_200739957561184_8412199531953742053_n.jpg
 
Hapana bro lengo lake ni nini nataka nifahamu anakuwa ana Expect nini baada ya kuyatetemesha
Pesa...pesa....pesaaaaa....

Anapata folowazi wengi kwenye akaunti zake...na anachaji pesa zaidi mtu akitaka kutangaza biashara yake huko...

Pia ni exposure kwa mapedeshee; na dau linapanda. Ukimparamia hapo kupiga kwa muda si ajabu ukaambiwa milioni kadhaa...na watu wanatoa. Mahari kumuoa alishasema milioni 10 baadaye zikapanda mpaka milioni 30. Watu wananunua tiketi za ndege first classs kumuagiza kwenda Dubai, Sauzi mpaka USA ili wakaspend naye good time. Ni biashara kubwa hii bro na kwa sasa changudoa si lazima asimame barabarani...
 
Back
Top Bottom