Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 178,464
- 1,079,704
Thanks bro...Dunia inahitaji watu wengi zaidi wenye character kama yako ya kuwa really sio kukaakaa na mavitu moyoni
Stay OG bro ila Th hawezi kukutupa kwenye iginoa list
hahah, bora umejisalimisha….maana ningekubebesha mzigo wa lawamaJust copied it from a life hacking blog. Not sure if it works or not. Don't sue me if you burn your house
No usilie mpendwa Numbisa analo,Fragaria pia mashallah 😀😀😀Ohhh Jizazi !!!
Ngoja waje wathibitishe. Itakuwa poa sanaNo usilie mpendwa Numbisa analo,Fragaria pia mashallah
Safi capitalpool nipo mpendwa.Mambo ? Nimekumiss sana,. Upo wapi?
Hahahaha hii ni siri nimekupa usiwaulize.Ngoja waje wathibitishe. Itakuwa poa sana
Sawa. Asante sana...Hahahaha hii ni siri nimekupa usiwaulize.
Sio mimi huyo.Jitahidi ufuge kucha ata kidogo bhana
Picha ya Numbisa iliwekwa Jana nilitaka kuwastua wakuu muone jinsi gani mtoto kisu Sema nimeogopa ban😜
Safi capitalpool nipo mpendwa.
Iliwekwa wapi?Picha ya Numbisa iliwekwa Jana nilitaka kuwastua wakuu muone jinsi gani mtoto kisu Sema nimeogopa ban
🤣🤣🤣🤣🤣SYBKila ledi hapa anadai ni fulati sikirini. Ina maana kwenye sredi hii yote hakuna mwenye wezere hata mmoja? Whati izi zisi?
Hata ujitahidi vipi bro haitasaidia kitu. Wananzengo wa hapa wakishapitisha hukumu basi hakuna la kufanya. We kafuge kucha tu kwa sababu hakuna namnaSio mimi huyo.
Itakua imeungwaungwa hiyo picha.
Black CocoaBlack coffee
Hii neno napenda kuandika sipendi kuandika "Mkuu" badala yake naandika MpendwaHii mpendwa maana yake anapendwa na wewe Mkuu ???
There are things you'd love to hear that you would never hear from the person whom you would like to hear them from, but don't be so deaf as not to hear it from the one who says it from his heart.