BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,789
- 288,015
Am good VE, how about you?
Hivi hii methali ina maana gani hasa?Mtaka nyingi nasaba upata mingi misiba
Uwe na siku njemaI can’t complain VE, life is good and very precious. Thanks to the Almighty
Nashindwa kujibu moja kwa moja labda naomba nitumie njia ya swali....Hivi hii methali ina maana gani hasa?
Niaje mkuu
Shikamoo PriscaNajaribu emoji hapo.
Huo dogo dah mwaka huo nilikua nshamaliza vidato vyoooteeee
sana mzee mwenzanguHahah! Kwakweli anakuja kawa kasi sanaaaa
Mwenye ndugu wengi.Nashindwa kujibu moja kwa moja labda naomba nitumie njia ya swali....
Mtu mwenye ndugu wengi na mwenye wachache yupi anauwezekano mkubwa wa kupata misiba mingi?
Basi nasaba ni kama unduguMwenye ndugu wengi.
Nilikua najua nasaba ni kama ushauri...
Huyu Six O'clock ndio nani mzee mwenzangu?sana mzee mwenzangu