mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 81,403
- 423,428
HahahahaHahahaha ni kweli tumefikia kiasi hiki,,anafaa kuiona binti mpole hii Numbisa
HahahahaHahahaha ni kweli tumefikia kiasi hiki,,anafaa kuiona binti mpole hii Numbisa
Ahsante sana CookieLala unono
Njema za kwako,Mkuu niaje habari za usiku huu
Walyekum msalam ndugu...Asalaam Aleykum Hawachi..
Mi mzima sijui weye
Safiiii.. ntapika kesho
Hahaha!! Mie pia nimefahamu leoNimejua Sasa hivi
Nilikuwaga nawaza hivi Ni kwanini wamekiita kibao cha mbuzi, nilidhani wanakifananisha na mbuziHahaha!! Mie pia nimefahamu leo
Ana sifa za kijinga
Namlaumu aliyekuonjesha futariUsile ugali kipindi hiki Cha Mwezi mtukufu tafadhali .. Kula futari!!
Nilipotea wapi? Kwani ulinitafuta??
Waislam wanafaidi sana! Silali nasubiri Daku hapa 😬 😬Namlaumu aliyekuonkesha futari
Hahaha!!Nilikuwaga nawaza hivi Ni kwanini wamekiita kibao cha mbuzi, nilidhani wanakifananisha na mbuzi
Tunashukuru 🙏Walyekum msalam ndugu...
Niko salama best
Ha ha ha sana aisee,Ana sifa za kijinga
Namlaumu aliyekuonjesha futari
Hii clip nmecheka sana baada ya kuiona