capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,353
- 121,237
Tunatakiwa kuacha kutupa maisha ya kijamii ambayo ndio msingi wa uwepo wa taifa hili, na afya yetu kama taifa inategemea ubora wa maisha yetu ya kijamii, ambayo hayawezi kuwepo kama tutafuata ubinafsi