Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Na furaha yetu kama taifa inategemea sana ubora wa maisha yetu ya kijamii. Na maisha yetu ya kijamii yataboreka pale tutakapokuwa na nidhamu na dira ya kujiongoza sisi wenyewe, ya kuangalia tabia zetu kwa ukaribu, na kujizuia kufanya matendo ambayo ni yenye madhara kwa uhai na umoja wa jamii zetu na taifa letu.
 
BECOME OUR AGENT

waitechtz gives us 25% of customer's service charges as a commission when you refer someone.

Simply register to via www.waitechtz.com

For more information/ queries:
call: +255(0)714939570
+255(0)744939577
+255(0)744556389

email: info@waitechtz.com
web%20servicesup.PNG


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na msingi wa uhai wa taifa lolote ni maadili ya watu wake, kinyume cha hapo hakuna taifa litakaloendelea kwa muda mrefu pasipo kuangalia kwa ukaribu maadili ya watu wake. Taifa watu wake wanapokengeuka haliwezi kusimama. Tunapoacha njia ambayo ni sahihi kama taifa tusahau kuhusu maendeleo. Kama makanisa na misikiti na elimu yetu, ikishindwa kujenga raia wema na bora, tusahau kuhusu uwepo wa taifa hili. Kutakuwa hakuna amani kama watu wetu watakuwa hawana uwezo wa kutenda mema
 
Back
Top Bottom