son of stev
Member
- Jul 6, 2018
- 8
- 11
HahahaIf you got bad attitude, change it. Stop looking for who will love you the way you are.
Nobody loves nonsense!
HahahaIf you got bad attitude, change it. Stop looking for who will love you the way you are.
Nobody loves nonsense!
Habari yako jakitoo
Kwa nini? Picha zangu zote zinapendeza sis. Sawasawa na za kwako tu
Nifungulie PM nikuulize kitu kama unasema kweli....
Chenge huko nyumbani anaabudiwa na Wachawi. Kama we unamzidi basi we wa kimataifa na watu kama akina Mshana Jr watasubiri sana
Haya kazi kwenu kina dada wenye uhaba wa hicho kiungo cha mwili anzeni kugonga msosi wa chura mjenge heshima mtaani
Hahahaha mkuu kwani uliwahi kujua kama MALKIA ni mchawi?Hawakujui hao wapotezee
Long timeKama kawa
HakikaLIKES ZINAENDELEA
. Uchawi siku hizi ni sifa. Na waliobobea wanaheshimiwa na kuogopwa sana na jamii. Jamii yetu!!!Hahahaha mkuu kwani uliwahi kujua kama MALKIA ni mchawi?
KabisaLIKES
Pole pole mkuu