Hahahaha samehe deni la unayeona linafaa kusameheka. Maamuzi nshakupa kwa aslimia miaWewe ndo una maamuzi ya mwisho. Kwa hiyo unataka nisamehe la Andjul. Ngoja nifukue makabrasha niutangazie umma...
Ndioo boss.... ila kama kina page 200+ ntaishia njiani
Ugonjwa wetu wabantu, uvivu wa kusoma!