Anakulaga wali mtamu...Mgagaa na Upwa
Sent from Kingston Jamaica
Mkuu, ni kweli uko Jamaica au ni jani tu limekuelemea?kayoyo092
Sent from Kingston Jamaica
Mkuu, ni kweli uko Jamaica au ni jani tu limekuelemea?
Ni kweli kabisa me staki ata kumskia bwana yule ...ngoja nieke makazi hapa kwenye upendoNiko kote lakini sana hapa kuna upendo hapa tena wa hali ya juu sana, ila siasani lazima nizuke hasa wakati huu Watanzania wengi tuna hofu kubwa sana kutokana na kauli na matendo ya bwana yule. Nchi yetu inaharibika machoni mwetu.
Hapa nilipo kuna mvua na radi kibao. Sipendi radi....lightning
Sent from Kingston Jamaica
Hapa nilipo kuna mvua na radi kibao. Sipendi radi....