Hata huku huwa anapita mara moja moja tu. Mimi nilidhani makazi yake hasa ni jukwaa la siasa.Asante BAK...naona humu ni nyumbn kwako sikuhz ata majukwaa mengine huonekani
Hata sasa ukiwakorofisha unatandikwa ban usiku huu wa manane !!!Watu wapo kazini
Unaweza kuta ikifika mida hii tunaungana na mods ambao wapo shift ya usiku tunawakampani. Ila siku ukipitiwa unakula ban. Kama kawaida.
KumbeeHata huku huwa anapita mara moja moja tu. Mimi nilidhani makazi yake hasa ni jukwaa la siasa.
Kwan huyu anakujaga huku sahv atakua anaota yupo shambanidaudthefarmer
Sent from Kingston Jamaica
Asante BAK...naona humu ni nyumbn kwako sikuhz ata majukwaa mengine huonekani