Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kisha kocha wake anafika huku akiwa mwingi wa tabasamu, "wakati mwingine sikumuona akija kufanya mazoezi. Ukweli ni kuwa alikuwa anatibiwa hospitalini. Aliporejea mazoezini aliniambia alikuwa ana furaha kubwa." Lamine anasema, kisha anaendelea kuzungumza, "nilimuuliza, nini kilichofanyika?"
 
Massata alimkumbatia na kumfahamisha kuwa, amepona. Amepona kwa ukamilifu.

Shirika la Afya Ulimwenguni linapendekeza mazoezi ya dakika 30 kwa watu wazima na saa moja kwa watoto. Bila hivyo, inachukuliwa kuwa hufanyi mazoezi.

Hata hivyo daktari Dia anasema kuwa mazoezi ya kila siku humsaidia mtu kufidia muda ambao alikuwa ameketi kwa kipindi kirefu.
 
Ama kwa hakika, kufanya mazoezi ni kuokoa muda ama wakati. Kufanya hivyo kunaondoa uchovu na unahisi mwenye nguvu haswa unapoamka.

Mtindo wa maisha wa kukaa tu, unachangia asilimia 30 ya maradhi ya moyo na kati ya asilimia 20-25 ya saratani ya matiti kibofu na mapafu.

Wataalamu wanasema kuwa iwapo umezoea kushinda kwenye kiti kazini kwa kipindi kirefu, yafuatayo ni mambo ambayo unaweza ukayafanya:
 
Iwapo unaendesha gari, hakikisha unaliegesha mbali na kiasi na mahali pa kazi, ambapo utatembea.

-Badala ya kutumia kambarao/lifti, hakikisha unatumia vidato.

- Simama kwa dakika moja, kila baada ya saa moja ama dakika tano hadi 10 kwa

kila dakika 90.

-Tembea Zaidi ya kuketi kwa muda mrefu.
 
Dutch bitch, Dutch whip
Dutch Master, German engineering
She say I can't drink no more, run an interference
I can't hear no more, I'm too incoherent
She wanna jump in the coupe
She wanna jump in the Rolls
She wanna tell me the truth
She wanna take off her clothes
That's a lie, Maury said that's a lie
She my baby, but her baby isn't mine, tuh
 
Zoom, zoom
That's just my Lamborghini, broom, vroom, yeah
Booty goin' yeah, boom, boom
Bass hit (Huh?), doom, doom, yeah (Hello?)
Gang, gang, pick a side, might as well just do or die
Damn, yeah, she's so attractive, she a lil' cutie pie
Almost got me caught up, had me thinkin' I should tie the knot
Your friend wanna come over, I don't know if it's true or not
Why not?
 
Vichwa vya habari kwenye magazeti ya leo.
Jumamosi may 4 2024
IMG-20240504-WA0016.jpg
 
Back
Top Bottom