myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 147,925
- 657,264
✔️✔️Mithali 12:14
Mtu atashiba mema kwa matunda ya kinywa chake; Na atarudishiwa matendo ya mikono yake.
Kila tufanyayo yawe MEMA au MABAYA yataturudia Kwa KIPIMO kile kile
✔️✔️Mithali 12:14
Mtu atashiba mema kwa matunda ya kinywa chake; Na atarudishiwa matendo ya mikono yake.
Kila tufanyayo yawe MEMA au MABAYA yataturudia Kwa KIPIMO kile kile
AiseeMithali 12:14
Mtu atashiba mema kwa matunda ya kinywa chake; Na atarudishiwa matendo ya mikono yake.
Kila tufanyayo yawe MEMA au MABAYA yataturudia Kwa KIPIMO kile kile
SawasawaNi vizuri kukaa eneo lisilo na changamoto, silisilo na vita lakini eneo kama hili lita kufanya usikue na kuongezeka, lita kudumaza
✔️✔️Kila mtu yuko busy na maisha yake na matatizo yake kama iki tokea mtu aka onyesha juhudi ya kukufanya utabasamu basi mthamini sana.
Kweli..Kila mtu yuko busy na maisha yake na matatizo yake kama iki tokea mtu aka onyesha juhudi ya kukufanya utabasamu basi mthamini sana.
SawasawaUna weza uka pitia magumu sana kumbe ndio ukawa ufunguo wa maisha yako mazuri, japo sio lazima upitie magumu
✔️✔️✔️Msaada sio haki yako, uki nyimwa usi nune, pambana upate vyako ili usiwe mtegemezi
AiseeKamwe usishtushwe na kujenga chuki na mafanikio ya wengine. Jipange vizuri na upambane riziki yako haitakuwa yake
AiseeKamwe usishtushwe na kujenga chuki na mafanikio ya wengine. Jipange vizuri na upambane riziki yako haitakuwa yake
KweliTuna Mungu mkuu sana asiyewafurahisha maadui zetu
SahihiTuna Mungu mkuu sana asiyewafurahisha maadui zetu
✔️✔️Na ule mkono hodari wa Mwenyezi Mungu uwe juu yako, uka fanikishe mambo yako
NakubaliTuna Mungu mkuu sana asiyewafurahisha maadui zetu
SawasawaUsiwe mmoja ya watu ambao waki pata changamoto kidogo tu una dhani Dunia ime kuacha. Maneno ya watu, hasara, utapeli, kuibiwa visi kufanye ukahisi uko fungu la kukosa na kukata tamaa. Yaelewe maisha
AiseeKuhukumu bila kuchunguza ni sawa na kusaini mkataba ambao huja wahi kuusoma.
✔️✔️✔️Utafanikiwa tu pale utakapobadilisha mtazamo wako kutoka kwenye shida mpaka kwenye suluhisho
AiseeUtafanikiwa tu pale utakapobadilisha mtazamo wako kutoka kwenye shida mpaka kwenye suluhisho
✔️✔️Utafanikiwa tu pale utakapobadilisha mtazamo wako kutoka kwenye shida mpaka kwenye suluhisho