Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Liverpool na Manchester United ni miongoni mwa vilabu vya Uingereza vinavyotajwa kumfuatilia kiungo wa Ivory Coast Franck Kessie, 24, ambaye amegoma kusaini mkataba mpya na klabu yake ya AC Milan. (90min)
 
Kiungo wa Roma Steven Nzonzi anakaribia kutua klabu ya Al Rayyan ya Qatari ambapo dirisha la usajili huko linafungwa Septemba 30 na mkataba wa kiungo huyo mfaransa mwenye umri wa miaka 32 unamalizika mwaka 2022. (Calciomercato - in Italian
 
Manchester United imeamua kuelekeza nguvu zake kwa kiungo wa Leeds United Kalvin Phillips, 25, baada ya kuachana na mipango yao ya kumsajili kiungo mwenzake wa England Declan Rice, 22, kutoka West Ham. (Star)
 
Real Madrid wanafikiria kupeleka ofa kwa ajili ya mlinzi wa pembeni wa Hispania Pedro Porro, 22, ambaye yuko kwa mkopo Sporting Lisbon akitokea klabu ya Manchester City. (O Jogo - in Portuguese)
 
Liverpool na Manchester United ni miongoni mwa vilabu vya Uingereza vinavyotajwa kumfuatilia kiungo wa Ivory Coast Franck Kessie, 24, ambaye amegoma kusaini mkataba mpya na klabu yake ya AC Milan. (90min)
 
Liverpool na Manchester United ni miongoni mwa vilabu vya Uingereza vinavyotajwa kumfuatilia kiungo wa Ivory Coast Franck Kessie, 24, ambaye amegoma kusaini mkataba mpya na klabu yake ya AC Milan. (90min)
 
Meneja wa Everton Rafael Benitez anataka kuwasajili kiungo wa Hispania Isco, 29 na mshambuliaji wa Serbia Luka Jovic, 23, pale Goodison Park wakitokea Real Madrid kwa mkataba mfupi wa mkopo mwezi Januari. (Defensa Central - in Spanish)
 
Barcelona bado ina nia ya kutaka kumsajili mlinzi wa Juventus na timu ya taifa ya Uholanzi Matthijs de Ligt, 22, na iko tayari kumtoa golikipa mjerumani Marc-Andre ter Stegen, 29, na mshambuliaji mholanzi Memphis Depay, 27, kama sehemu ya kukamilisha mpango huo. (Calciomercato - in Italian)
 
Mshambuliaji wa Club Brugge Noa Lang yuko tayari kutua Arsenal lakini washika bunduki hao wa London wanakabiliwa na ushindani kutoka kwa AC Milan wanaomtaka pia mholanzi huyo mwenye umri wa miaka 22. (Voetbal24 via Mirror)
 
Mtendaji mkuu wa Borussia Dortmund Hans-Joachim Watzke anasema Real Madrid ni klabu "inayomshawishi" Erling Haaland, 21, wakati huu mshambuliaji huyo wa Norway akiangalia mustakabali wake wa baadae. (AS - in Spanish)
 
Jacob Ramsey, kiungo kinda wa Aston Villa mwenye umri wa miaka 19, anaripotiwa kutakiwa na Manchester City, huku mabingwa hao wa ligi kuu England wakimfuatilia kwa karibu Muingereza huyo. (Fichajes - in Spanish)
 
Kiungo wa zamani wa Hispania Juan Mata, 33, anaangalia mustakabali wake kufuatia kukosa nafasi ya kucheza mara kwa mara Manchester United msimu huu. (Manchester Evening News)
 
Back
Top Bottom