Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wasanii, wanamichezo na watu wengine maarufu dunaini mara nyingi hutumia magari ya kifahari zaidi na yenye thamani kubwa kwa sababu ya shughuli zao na namna wanavyojiweka kwenye macho ya watu wanaowafuatilia.
 
Hata barani Afrika, inaonekana sasa kama kitu cha kawaida kwa watu maarufu wakiwemo wasanii, wafanyabiashara na wanamichezo kumiliki magari makali, ya kisasa na ya bei ya juu.
 
FB_IMG_1626670250409.jpg
 
Ayodeji 'Wizkid' Balogun pamoja na magari mengine anamiliki Lamborghini Uru na Porsche Panamera na msanii Diamond Platnumz wa Tanzania wiki hii ameonyesha gari yake mpya ya The 2021 Rolls-Royce Cullinan, kama moja ya magari yake ya kifahari likiwemo Cadillac Escalade.
 
Sasa yapo magari mengi tu ya kisasa, kifahari na ya thamani ya juu kama McLaren Speedtail, Pininfarina Battista, Mercedes-AMG Project One, Koenigsegg Jesko, Aston Martin Valkyrie, W Motors Lykan Hypersport, Pagani Huayra BC Roadster, Bugatti Chiron Pur Sport na Lamborghini Sian FKP 37.
 
Matairi ya gari hii yana ukubwa wa inchi 21 yakitajwa kuwa ya kipekee katika aina ya magari yanayofanana na haya ya 'sports cars'. Lina uwezo wa kubeba uzito wa mpaka kilo 2721.
 
Back
Top Bottom