moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 125,992
- 691,932
Nilikuwa mimi mpendwa.Umenikumbusha kuna siku nilikuwa kwenye daladala nachat Jf nimejisahau ghafla nageuza Shingo naona kuna kaka katoa macho anaangalia kwenye simu yangu nilizima simu fasta nikazuga nimelala nilipofika Stendi sikuangalia nyuma
Hata wazo la kubadili avatar lilikuja Mama niliporudi nyumbani nikawasha simu nika log aut Jf kwa wiki ili jamaa asichomoe betri.