Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

What is the World’s most littered Plastic item?

Smokers around the world buy roughly 6.5 trillion cigarettes every year . That’s 18 billion every day. While most of a cigarette’s innards and paper wrapping disintegrate when smoked, not everything gets burned. Trillions of cigarette filters also known as butts or ends are left over, only an estimated third of which make it into the trash. The rest are casually flung into the street or out a window.
Cigarette filters are made of a plastic called Cellulose Acetate. When tossed into the environment, they dump not only that plastic, but also the nicotine, heavy metals, and many other chemicals they’ve absorbed into the surrounding environment.
446737795_25843.jpeg
 
TENDE
Tende, ambayo ni maarufu sana katika nchi za arabuni na ukanda wa mwambao wa Tanzania, ni miongoni mwa vyakula vyenye faida kubwa mwilini. Sifa ya kwanza ya tende ni uwezo wake wa kuupa nguvu moyo dhaifu na kuupa nguvu mwili (energizer). Wale wenye matatizo ya moyo kukosa nguvu tende zitawasaidia. Tende nayo ni mlo tosha unaopaswa kuwepo katika orodha ya milo yetu ya kila siku.
 
Katika maisha tunayoishi hivi sasa, ili mtu kuupa mwili wako kinga imara dhidi ya maradhi mbalimbali na ya hatari, hatuna budi kuzingatia ulaji wa vyakula mchanganyiko vya asili na kuacha kupenda kula vyakula visivyokuwa na faida katika miili yetu ambavyo mara nyingi tunapenda kuvila, kwa sababu ni vitamu mdomoni.
 
Ujiiiiiiiiii....

What are main compositions of Semen?

Semen, also called seminal fluid, fluid that is emitted from the male reproductive tract and that contains sperm cells, which are capable of fertilizing the female eggs. Semen also contains other liquids, known as seminal plasma, which help to keep the sperm cells viable.
In the sexually mature human male, sperm cells are produced by the testes (singular, testis); they constitute only about 2 to 5 percent of the total semen volume. As sperm travel through the male reproductive tract, they are bathed in fluids produced and secreted by the various tubules and glands of the reproductive system. After emerging from the testes, sperm are stored in the epididymis, in which secretions of potassium, sodium, and glycerylphosphorylcholine (an energy source for sperm) are contributed to the sperm cells. Sperm mature in the epididymis. They then pass through a long tube, called the ductus deferens, or vas deferens, to another storage area, the ampulla. The ampulla secretes a yellowish fluid, ergothioneine, a substance that reduces (removes oxygen from) chemical compounds, and the ampulla also secretes fructose, a sugar that nourishes the sperm. During the process of ejaculation, liquids from the prostate gland and seminal vesicles are added, which help dilute the concentration of sperm and provide a suitable environment for them. Fluids contributed by the seminal vesicles are approximately 60 percent of the total semen volume; these fluids contain fructose, amino acids, citric acid, phosphorus, potassium, and hormones known as prostaglandins. The prostate gland contributes about 30 percent of the seminal fluid; the constituents of its secretions are mainly citric acid, acid phosphatase, calcium, sodium, zinc, potassium, protein-splitting enzymes, and fibrolysin (an enzyme that reduces blood and tissue fibres). A small amount of fluid is secreted by the bulbourethral and urethral glands; this is a thick, clear, lubricating protein commonly known as mucus.

Essential to sperm motility (self-movement) are small quantities of potassium and magnesium, the presence of adequate amounts of oxygen in the plasma, proper temperature, and a slightly alkaline pH of 7 to 7.5. Sulfate chemicals in semen help prevent the sperm cells from swelling; and fructose is the main nutrient to sperm cells.

433901134_4867.jpeg
 
Sababu ya kuuliza ni hizo comments hapo nyuma,..
Umeeleza vizuri hapa.

Lakini kususia uchaguzi pia ina effect yake kubwa sana!
Kama huna imani na tume ya Uchaguzi kwanini ujiandikishe??

Serikali inatumia nguvu kubwa illi watu wajiandikishe sababu inajua athari za mwitikio mdogo wa Uchaguzi.
Ni vile tu Upinzani wetu una some weaknesses otherwise ilikua ujumbe mzuri sana kwa serikali hii na Duniani kususia Uchaguzi huu ktk ushiriki wa usimamizi wa chaguzi hizi (Zingatia pia pingamizi la Mahakama juu ya Wakurugenzi)
Mahakama ya Rufani imetengua hukumu na amri ya Mahakama Kuu kuzuia wakurugenzi wa halmashauri, manispaa, na majiji kusimamia uchaguzi mkuu kwa niaba ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi. Kwa maana hiyo wakurugenzi wanaruhusiwa kusimamia uchaguzi.

======================================================
adhabu ipo pale pale.

kushiriki uchaguzi au kutokushiriki uchaguzi athari zake hazitofautiani sana ila kwa uchaguzi wa kwanza ni bora zaidi kujaribu bahati, kama ingelikuwa situation ni kama ile ya zanzibar basi hakuna umuhimu wa kushiriki uchaguzi.

kwa ufupi kwa sasa vyama vya upinzani vinapitia hatua ngumu sana kimkakati.
huyu jamaa hana muda wa kubembeleza.
 
What is the difference between White and Brown Eggs?

The difference is all about the chicken. White and brown eggs have no nutritional difference; however, they do have a noticeable price variance on store shelves. Brown eggs are more expensive than white eggs because of the difference in the hens that lay them. White eggs are laid by chickens with white feathers and white ear lobes, while brown eggs are laid by red-feathered chickens with red ear lobes. Chickens with red feathers are larger in body size and require more feed which is why brown eggs are more expensive on store shelves.
448304620_28835.jpeg
 
Joyce Wowowo na Yondo Sista hujawahi hata kuwasikia halaf unaitaka shikamoo yangu... Utasubiri sana

Yondo Sister. Na sauti yake laini ile...

Nilikuwa nayo hii kanda. Na za Kanda Bongoman, Nyboma, Papa Wemba, Sam Mangwana, Luambo Makiadi, Mbilia Bel, Mariam Makeba, Yvone Chakachaka, Defao, Awilo Longomba, Madilu...na wengineo....

Those good ole days

41pII4uSgRL.jpeg
 
What is the difference between White and Brown Eggs?

The difference is all about the chicken. White and brown eggs have no nutritional difference; however, they do have a noticeable price variance on store shelves. Brown eggs are more expensive than white eggs because of the difference in the hens that lay them. White eggs are laid by chickens with white feathers and white ear lobes, while brown eggs are laid by red-feathered chickens with red ear lobes. Chickens with red feathers are larger in body size and require more feed which is why brown eggs are more expensive on store shelves.
View attachment 1235188
huku kwetu mayai meupe ni gharama zaidi kuliko hayo mengine.
nayakusudia yale yanayotagwa na kuku wa asili
 
Nabonyezaje? Ipi sasa, nawe emu elezea vizuri.
Mfano kuna comment ya kwanza ni ya Davet, Ya pili Ninge nyingine ya Numby afu me nataka kuziqoute zote tatu nabonyeza reply ipi? Ama naclick reply iliyopo kwenye kila comment? Then mwisho nafanyaje
depal umeshawahi kuvuta bangi ya biryani?

  1. comment ya davet: bonyeza reply button ya davet
  2. comment ya capitalpool: bonyeza reply button yake
  3. ...............................
  4. hebu jaribu kufanya hivyo mpenzi wa msukuma
 
Back
Top Bottom