Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Why do Bags of Chips have Air in them?

Potato Chip Bags are not full of Air, but of Nitrogen gas. This is done to prevent the Chips from oxidizing, which is part of what makes them go stale. Oxygen is very reactive, and likes to combine with other Molecules whenever it can, causing chemical changes to take place.

464136494_114989.jpeg
 
KAROTI
Miongoni mwa faida nyingi za karoti ni pamoja na kushusha kolestro mbaya mwilini, kupunguza unene, kuimarisha nuru ya macho, kuimarisha shinikizo la damu, inatoa kinga kwenye figo na inaimarisha sukari mwilini. (kula kadiri unavyoweza, mbichi au zilizochemshwa).
 
MAHARAGE YA SOYA
Haya ni maharage bora kabisa ambayo yana faida nyingi mwilini, ikiwemo kushusha shinikizo la damu, kuimarisha sukari mwilini, kupambana na ugonjwa wa kisukari, figo, moyo, kutoa kinga dhidi ya ugonjwa wa kansa ya kibofu na magonjwa mengine ya wanawake.
 
serikali yenye kujielewa ndio inapaswa kuwajibika, unapoona wimbi kubwa la watu limekataa kujiandikisha ujue kuna tatizo kubwa sana la kimfumo.

khofu yangu ni huyu jamaa amekaa vibaya kimatamko ndio maana nimependekeza hao wananchi wajitokeze kujiandikisha kupiga kura.

kuna mama fulani hivi juzi alimwambia mwambie mbunge wako wa upinzani uliyemchagua akuletee huduma ya maji
Sababu ya kuuliza ni hizo comments hapo nyuma,..
Umeeleza vizuri hapa.

Lakini kususia uchaguzi pia ina effect yake kubwa sana!
Kama huna imani na tume ya Uchaguzi kwanini ujiandikishe??

Serikali inatumia nguvu kubwa illi watu wajiandikishe sababu inajua athari za mwitikio mdogo wa Uchaguzi.
Ni vile tu Upinzani wetu una some weaknesses otherwise ilikua ujumbe mzuri sana kwa serikali hii na Duniani kususia Uchaguzi huu (Zingatia pia pingamizi la Mahakama juu ya Wakurugenzi kurejeshwa kama wasimamizi)
 
PAPAI, TIKITI MAJI
Miongoni mwa matunda muhimu mwilini ambayo hata mgonjwa wa kisukari anashauriwa kuyala ni pamoja na papai na tikitimaji ambayo yanaelezwa kuwa na kiwango kikubwa cha ufumwele (fibre) na hivyo kutoa mchango mkubwa sana katika kuimarisha kiwango cha sukari mwilini. (kula kiasi cha moja katika ya matunda hayo mawili, kila siku
 
KITUNGUU SAUMU
Hiki ni kiungo cha mboga, licha ya kuonekana kama ni kiungo cha kuongezea ladha tu ya chakula, lakini ni miongoni mwa vyakula vyenye faida kubwa katika afya zetu. Kitunguu saumu husaidia kuyeyusha damu mwilini hivyo kumuepusha mlaji kushikwa na ugonjwa wa moyo pamoja na presha. Kitunguu hicho pia hutoa kinga kwenye ini na huondoa maumivu ya viungo. Kula angalau kitunguu kimoja mara moja kwa wiki.
 
KITUNGUU SAUMU
Hiki ni kiungo cha mboga, licha ya kuonekana kama ni kiungo cha kuongezea ladha tu ya chakula, lakini ni miongoni mwa vyakula vyenye faida kubwa katika afya zetu. Kitunguu saumu husaidia kuyeyusha damu mwilini hivyo kumuepusha mlaji kushikwa na ugonjwa wa moyo pamoja na presha. Kitunguu hicho pia hutoa kinga kwenye ini na huondoa maumivu ya viungo. Kula angalau kitunguu kimoja mara moja kwa wiki.
 
How can you tell if a Mushroom is poisonous?

Many types of Mushrooms are good to eat. The Fruiting bodies of other fungi like Truffles and Puffballs are also tasty. But there are many Mushrooms that are poisonous, and it is very hard to tell the harmful from the harmless. So you should never pick and eat a Mushroom. Only an expert, who has studied the different types, can tell the difference for sure. People have been eating mushrooms for thousands of years. Because they contained some protein and minerals, they were an important source of food at times when fruits and vegetables were not available. Now they are grown commercially, like other Food crops.
IMG_20191016_093218_405.jpeg
 
MDALASINI
Hiki nacho ni kiungo cha kuongezea ladha na rangi kwenye chakula, lakini nacho kina faida zaidi ya hiyo. Mdalasini, ambayo inapatikana kwa wingi katika masoko mbalimbali nchini, hufaa sana kutumiwa na wagonjwa wa kisukari, kwani hurekebisha kiwango cha sukari mwilini kwa kiwango cha hadi pointi 50. inapendekezwa kutumiwa angalau nusu kijiko cha chai kila siku mara mbili.
 
TANGO
Watu wengi hulipuuza tango na wengine hawajawahi kula kabisa kwa sababu siyo tamu sana mdomoni, hata linapochanganywa kwenye kachumbari huepukwa. Hii yote inatokana na kutokujua umuhimu wa mboga hii. Inaelezwa kuwa tango linapoliwa husaidia sana kusaga chakula tumboni hivyo kumuwezesha mlaji kupata choo laini. Halikadhalika, tango linaweza kutumika katika kuboresha ngozi ya uso kwa kupaka, kwani huondoa vipele na kuifanya ngozi kuwa nyororo. Ni zuri linapoliwa na maganda yake na unaweza kula kiasi utakachoweza.
 
ASALI
Kama kuna chakula kitamu na kizuri duniani, basi ni asali. Hiki ni chakula cha asili ambacho kimekuwepo enzi na enzi na kimesifiwa hata katika vitabu vya Mungu. Asali ina uwezo wa kudhibiti sumu mwilini, ina uwezo wa kumfanya mtu mnene kupungua uzito na mtu mwembamba kuongezeka uzito hadi kufikia uzito wa kawaida. Asali huupa nguvu mwili haraka, huifanya ngozi kuwa nyororo, huzuia asidi, husafisha damu na ina uwezo wa kuua vijidudu mwilini. Lamba asali kijiko kimoja cha chai asubuhi kabla hujala kitu chochote. Kwa kuwa asali ni tamu lamba mara 3, wagonjwa wa kisukari wanashauriwa kuila kwa tahadhari
 
Back
Top Bottom