Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

HBD dogo
FB_IMG_1568283506428.jpeg
 
Majukwaani mashabiki walikuwa wakimtusi wakitaka atumie pesa kusajili kwenye mechi za vipigo, lakini Wenger siku zote aliendelea kuwaamini wachezaji aliokuwa nao. Binafsi sijawahi kukutana na kocha mwingine kama huyo aliyekuwa na imani kubwa kwa wachezaji wake."
 
SUPASTAA Cristiano Ronaldo mshahara wake wa Pauni 28 milioni anaovuna kwa mwaka huko Juventus ni mara tatu ya wachezaji wengine wanaomfuatia kwa kulipwa huko kwenye Serie A, huku akizifunika klabu zaidi ya nne kwenye bili yao ya mishahara kwa mwaka.
 
Back
Top Bottom