Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

70143684_174230440281391_3917998765575648421_n.jpg
 
Staa Ronaldo analipwa Pauni 27.7 milionni kwa mwaka, jambo hilo linamfanya azidi bili za mishahara za Klabu za SPAL, Udinese, Brescia na Verona kwenye mishahara yao zinazowalipa wachezaji wao wote ndani ya mwaka, kwamba haifiki mshahara huo wa CR7.
 
Kwenye 10 bora, straika Romelu Lukaku ndiye mchezaji pekee asiyekuwa wa Juventus, aliyeingia kwenye orodha hiyo akilipwa mshahara wa Pauni 6.7 milioni kwa mwaka, akishika namba tatu kwa kulipwa pesa nyingi,
 
Back
Top Bottom