moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 125,993
- 691,934
Kwema Mo.Salaam Depal
Kwema Mo.
Habari yako?
Linatoka hivyo hivyo au limetengenezwa?Lemato.
Lemon and tomatoView attachment 1205314
Hivi huyu kumbe ndiye Mo ninayemsikiaga sikiaga?Kwema Mo.
Habari yako?
Angalia vizuri picha ya Mo nilikojibia kwa hiyo picha utaelewa kinachoendelea kwa huyo braza. Wala halii huyoVile uko chumbani unalia na hutaki watu wa nje wasikie.
Au ni vile hostel umelala dekani either juu au chini na hutaki partner wako asikie kilio chako
Napigika na maisha kumbe Mo yupo hapa. Sikubali na naenda kukopa japo tumilioni 500 hivimoudgulf ndie huyu aiseee
😂😂😂😂😂😂 nimeonaAngalia vizuri picha ya Mo nilikojibia kwa hiyo picha utaelewa kinachoendelea kwa huyo braza. Wala halii huyo
Kakope twende kidia kuhiji 😂😂Napigika na maisha kumbe Mo yupo hapa. Sikubali na naenda kukopa japo tumilioni 500 hivi
Mzigo umegoma. Hayo matunda siyo mazuri na ukiyala inabidi unywe maji kwa wingi na vyakula vyenye fiber ya kutosha vinginevyo kesho yake ni shida ukienda ofisi kuunimeona
Ila wewe bana
Safari ishaahirishwa hiyo. Kidia haihitaji mkopo mkubwa hivyo. Huo ukiupata hata Dubai au visiwa vya Ushelisheli kabisa tunafikaKakope twende kidia kuhiji