Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,410
- 119,115
Hili tunda gani eti
Hili tunda gani eti
Miye sijambo Khantwe. Kwema huko kwako? Tumshukuru MunguBro habari ya mchana
We sis jasiri sana. Hukiimbii kitu wallahi. Kwema lakini?
Wewe unaonaje kamanda? Toa maelekezo watu walioamua kukutana hapa kucheka na kufurahi unataka wafanye nini. Watafuata maelekezo yako !!!
👍 👍Wewe unaonaje kamanda? Toa maelekezo watu walioamua kukutana hapa kucheka na kufurahi unataka wafanye nini. Watafuata maelekezo yako !!!
Tiba ya nini hii?
😃😃Calories kibao hapa ila faida lukuki...
Juisi ya parachichi nene refu lililopinda kwa mbele
Vile uko chumbani unalia na hutaki watu wa nje wasikie.