Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahahhaa eti mbuzi uwiiii kale kajamaa kanaiogopa sana jezi ya taifa,mashabiki wake huwa wanaona ni heri kumcheki CR7 ndani ya ureno kuliko Messi ndani ya argentina
mbuzi yule na mashabiki wake wamejaa visingizio

mara nyengine majani makavu
mara uwanja hauna oxygen ya kutosha
mara wenzake wanamdhulumu majani
 
FB_IMG_1568179421931.jpeg
 
Back
Top Bottom