Old school ndio aje bro?
OMG! That moment View attachment 1156659
Hahah! Nakuelewa sana bro, naelewa unajua mambo mengi ya zamani na sasa piaUnaishi katikati ya zamani na sasa ukikomalia kila jambo unaweza changanyikiwa
Upo vizuri? Na vipi kuhusu hii 4 ushaitumia?Kitambo sana sijapasha Mikono
Upo vizuri? Na vipi kuhusu hii 4 ushaitumia?
Sure hiyo game ya kirafiki muhimu ila Barca niachie. Nipo vizuri ila sio saanaaaaNimeitumia one time itabidi tupige Friend mechi, uko vizuri pia???
Sure hiyo game ya kirafiki muhimu ila Barca niachie. Nipo vizuri ila sio saanaaaa
Wanakuvutiaga nini hao Mund?
Hao utawachukua mimi nawatumiaga sana Dortmund
Wanakuvutiaga nini hao Mund?
Hahah! Itabidi ucheze defensive game mana Messi hana dogo ata kwenye gameMpira wa kitabu Tu na kasi ya ajabu najua utanisumbua kuwa na Messi
Hahah! Itabidi ucheze defensive game mana Messi hana dogo ata kwenye game