Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Lilian Thuram (2006-2008)

Mmoja kati ya mabeki bora kuwahi kutokea katika soka la Ufaransa. Kama ilivyo kwa Duggary na Petit alikuwemo katika kikosi cha Ufaransa kilichotwaa Kombe la Dunia Ufaransa mwaka 1998.

Aliwasili klabuni hapo mwaka 2006 baada ya kucheza soka Italia kwa muda mrefu. Alitua akitokea Juventus na kuichezea Barcelona kwa misimu miwili. Thuram alitwaa Super Cup, Hispania mwaka 2006 akiwa na Barcelona.
 
Thierry Henry (2007-2010)

Anabakia kuwa mchezaji bora wa muda wote Arsenal. Baada ya kutamba Highbury kisha Emirates na kuandika historia ya kuwa mfungaji bora wa muda wote Arsenal, hatimaye staa huyu wa kimataifa wa Ufaransa ambaye pia alitwaa Kombe la Dunia na Ufaransa mwaka 1998, aliamua kuondoka klabuni hapo mwaka 2007 na kwenda Barcelona kujaribu kutengeneza historia mpya. Akiwa na Barcelona alitwaa mataji kadhaa ikiwemo taji la ubingwa wa Ulaya mwaka 2009.
 
...

Maumbile ya Wasukuma...Jizazi
IMG-20190718-WA0005.jpeg
 
Abidal pia aligeuka shujaa miongoni mwa watu wa Catalunya nje ya uwanja baada ya kufanikiwa kuushinda ugonjwa wa kansa mara mbili.

Aliondoka mwaka 2013 kwenda kujiunga na Monaco ya kwao Ufaransa lakini kwa sasa amerudi tena klabuni hapo akiwa mmoja kati ya wakurugenzi wa klabu hiyo.
 
Uliona lile angalizo la coconut eeeh!?

Imagine ndo unachoreshwa hiyo coconut reverse cowgirl na toto lenye msambwanda wa kufa mtu. Wasipokukuta kwenye front page ya magazeti ya Shigongo na title ya "Njemba Yazimikia Lodge. Demu Asepa Mazima" basi shukuru Mungu
😂😂😂😂😂😂

Angalizo nililiona bro

Demu anaweza kusepa kumbe kabaki na kipande cha kiungo cha mtu ndani. Coconut sio poa
 
Jéremy Mathieu (2014-2017)

Beki mrefu wa kimataifa wa Ufaransa ambaye alitua Nou Camp mwaka 2014 akitokea kwa wababe wengine wa Hispania Valencia.

Hata hivyo, Mathieu ambaye alikuwa na uwezo wa kucheza kama beki wa kati na beki wa pembeni baada ya misimu mitatu Nou Camp aliruhusiwa kwenda Sporting Lisbon ya Ureno.
 
Samuel Umtiti (2016)

Beki mwingine wa Kifaransa ambaye alitwaa Kombe la Dunia na Ufaransa lakini katika kizazi kingine. Umtiti alinunuliwa na Barcelona mwaka 2016 akitokea Lyon na mpaka sasa amekuwa akikipiga klabuni hapo ingawa mara kadhaa jina lake linatajwa katika orodha ya wachezaji ambao wanaweza kuondoka.
 
Lucas Digne(2016-2018)

Beki wa kushoto wa kimataifa wa Ufaransa. Digne alijiunga na Barcelona akitokea PSG katika dirisha kubwa la majira ya joto mwaka 2016. Mambo hayakwenda sawa kama ilivyotegemewa na katika dirisha kubwa la mwaka jana Barcelona ilimuuza kwenda Everton ambako amegeuka kuwa tegemeo.
 
Ousmane Dembele (2017-)

Nyota wa kimataifa wa Ufaransa ambaye Barcelona ilimnunua kwa dau kubwa la Pauni 146 milioni kwa ajili ya kuziba nafasi ya staa wa Brazil, Neymar aliyeuzwa kwenda PSG. Dembele amekuwa akisumbuliwa na majeraha ya mara kwa mara na pia amekuwa akihusishwa kuondoka klabuni hapo.
 
Back
Top Bottom