Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mlindalango wa Costa Rica Keylor Navas, mwenye umri wa miaka 32, anataka Real Madrid imlipe miaka miwili aliyobakiza ya mkataba wake na imuache aende msimu huu wa miaka miwili, lakini klabu hiyo inataka ilipwe euro milioni 20 kwa yeyote atakatemtaka mchezaji huyo . (AS - in Spanish)
 
Kiungo wa kati wa West Ham' Muingereza Jack Wilshere, mwenye umri wa miaka 27, anaangalia uwezekano wa kustaafu huku akiendelea kupona jeraha alilopata wakati wa mechi na Arsenal, maana ugonjwa wa mtoto wake wa kiume umemfanya ''asahau soka'' . (Athletes Stance)
 
 
Huku siwezi kulalamika bro...

Niko sehemu fulani hapa napata msosi kuna misambwanda ya kufa mtu dah. This is just too much jamani

Huwa naupenda sana ushauri anao utoa daktari "pamoja na hizi dawa uwe unafanya mazoezi ya kutembea tembea" sasa ile unaingia kitaa kwa mazoezi ya asubuhi,mara limdada hilo na kitenge kimoja linaenda kwa mangi kununua mkate...
Sipatagi shida, naahirisha mazoezi naagiza Pepsi Kubwa tena ya moto ili niendelee kufaidi uumbaji..

Mkuu naona maendeleo ni mazuri. Tumshukuru Mungu
 
Duh! Kazi mnayo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…