Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sarri ambaye alichukuliwa kutoka Napoli katika dirisha kubwa lililopita kuziba pengo la kocha aliyetimuliwa, Antonio Conte, amekuwa akilalamika wachezaji wake wamekosa hamasa ya kusaka ushindi tofauti na ilivyokuwa katika siku za mwanzo ambapo kikosi chake kilikuwa mwendo mdundo na ilionekana kama vile kingefanya makubwa msimu huu.
 
konde kama hili likikapata kazaramo si hakataamka tena
5e77cbb3-bf55-4863-9645-42d49fa56fce.gif
 
Staa huyo Mhispaniola alitolewa kwa kadi nyekundu juzi Jumapili wakati kikosi chake cha Los Blancos kilipokutana na kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa Girona kwenye mchezo wa La Liga uwanjani Santiago Bernabeu. Ramos alionyeshwa kadi hiyo nyekundu baada ya njano mbili.
 
Back
Top Bottom