Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2018-12-07 Twitter.png
 
Afadhali majambazi, wanaweza kuwa na huruma wakaishia kuchukua pesa wakakuachia uhai. Black mamba amechukua uhai wa baba zangu wadogo wawili. Namuheshimu sana huyoView attachment 959162 Hili ni Zimwi
Aisee, pole sana bro.
Mimi nyoka sipatani nao wote.Hata nikiambiwa hana sumu.Nyoka ni nyoka tuu.Na hawa wenye mbwembwe za kuweka vichwa juu ndio wanapanikisha kweli.
 
Afadhali majambazi, wanaweza kuwa na huruma wakaishia kuchukua pesa wakakuachia uhai. Black mamba amechukua uhai wa baba zangu wadogo wawili. Namuheshimu sana huyoView attachment 959162 Hili ni Zimwi
Ukukutana nae unashauliwa kuwa mtulivu tu ukisubiri huruma yake maana ata ukikimbia huwezi kumuepuka na ndio unamkorofisha, inashauriwa ugande tu mwenyewe akijiridhisha wewe sio adui atakuacha
 
Back
Top Bottom