capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,353
- 121,237
Find two differencesPete kidoleni.
Hii ni Monalisa OG.?
Find two differencesShimo miguun kwa mrembow,mbalamwez hapo dirishan
Find two differences
Upo vizuri bro
Khaaaa aiseee umenichoka jaman hata kabiscut hahahah am fine kabisaHahah
Kwema wakishua??mboga nane,biskut hauvunji
Sija wahi kusoma hizi hadithi, nitajaribu.simulizi za alfu lela u lela ingia app store kisha pakua ARABIAN NIGHTS utapata simulizi zote (ila zipo katika lugha ya kimombo)
Monalisa kachachuliwa sana bro huyu nahisi sie yeye ila hapa shida yao ilikua uonyeshe Pete tuMoja ya sifa ya huu mchoro ni kuwa kila angle unapoweza kusimama basi utaona macho yake yanakutizama! Ndo tofauti na michoro/picha nyingine lakini hapa sioni, naona katizama uelekeo mmoja tuu!
Sina hakika kama hii ni monalisa!
Monalisa kachachuliwa sana bro huyu nahisi sie yeye ila hapa shida yao ilikua uonyeshe Pete tu
Hahahahhaah ndio hata biskut huwezKhaaaa aiseee umenichoka jaman hata kabiscut hahahah am fine kabisa
Hivi vitabu vyake Mimi ninavyo vya kiswahilisimulizi za alfu lela u lela ingia app store kisha pakua ARABIAN NIGHTS utapata simulizi zote (ila zipo katika lugha ya kimombo)