Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uhakika sasa ndugu zangu watatu wametangulia mbele ya haki
Jizazi. Pole sana mkuu.

Haya mambo yanauma sana hasa ukizingatia kwamba they didn't have to die bali uzembe wa watu tu. MV. Skagit iliondoka na mtu wangu wa karibu sana. Tuliachiwa wanawe na sasa tunahangaika kusomesha. Hakuna cha fidia. No apology. Hakuna cha malipo ya bima. Nothing. Afadhali sasa angalau wamesema watatoa laki 5 kwa kila maiti pamoja na kulipia gharama za mazishi...

Kwa hili wazungu nawavulia kofia. Ukifanya ujinga huu haki ya nani pesa utakazolipa kama ni kampuni itakufa na kama ni serikali ya jimbo au mji itayumba. Kutokana na malipo haya kila mmoja anajitahidi kufuata sheria na ajali inapotokea kweli ni ajali na siyo sababu zile zile miaka nenda miaka rudi
 
Mkuu siwezi kufanya Isis ni mtani wangu kwenye siasa zetu za bongo
Univumilie wakati namrushia makombora tu
Hivi wewe Kimario wa kina Muhhidini?
492BD548-3D8F-4F71-85CC-62B9C1407A21.jpeg
 
Jizazi. Pole sana mkuu.

Haya mambo yanauma sana hasa ukizingatia kwamba they didn't have to die bali uzembe wa watu tu. MV. Skagit iliondoka na mtu wangu wa karibu sana. Tuliachiwa wanawe na sasa tunahangaika kusomesha. Hakuna cha fidia. No apology. Hakuna cha malipo ya bima. Nothing. Afadhali sasa angalau wamesema watatoa laki 5 kwa kila maiti pamoja na kulipia gharama za mazishi...

Kwa hili wazungu nawavulia kofia. Ukifanya ujinga huu haki ya nani pesa utakazolipa kama ni kampuni itakufa na kama ni serikali ya jimbo au mji itayumba. Kutokana na malipo haya kila mmoja anajitahidi kufuata sheria na ajali inapotokea kweli ni ajali na siyo sababu zile zile miaka nenda miaka rudi
Inauma sana mkuu wawili ni watu wakubwa kabisa na familia zao sijui itakuwaje walikwenda kusalimia tu ukara so pain wake za marehemu hapo tunafanya kazi ya ziada kuwatuliza kwa kifupi familia nzima yetu imeumia sana
 
Back
Top Bottom