Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Amina mkuu
Angalizo ISIS ni malkia wangu sipendi umkwaze
Thank you so much!
CC2E8A83-9E3C-4AF6-9AC5-33F6A38E1743.jpeg
 
Aseee, mkuu SYB nawe tuletee taarifa kuhusu kufanana kwa kisukuma cha Mwanza, Geita, Simiyu, Shunyanga, Kahama, Mpanda na kwingineko
Kuna litasnifu limoja la shahada ya uzamivu kutoka chuo kikuu cha Leipzig Ujerumani limedadavua kila kitu nikilipata nitakutumia. Kinyantuzu ninachoongea mimi kina tofauti kidogo kifonolojia na kifonetiki na visukuma vingine...
 
Back
Top Bottom