Uzi Maalum Wa Kujadili Shule Mbali Mbali

Ahaaaa.. Ghetto si ndio kwere zaidi? Ulipata changamoto zipi na ulikabiliana nazo aje.

Leo upo kwenye hard toku sekta ya elimu leo
Changamoto ni nyingi sana.
Zile gheto zilikuwa zinapangishwa watoto wa kike na wakiume.
Mfano wewe unajenga nyumba yako vyumba kama kumi halafu unawapangishia wanafunzi.
Sasa unakuta mlango huu ni ghetto la wadada na mlango unaofuata ni ghetto la wakaka.
Kutokana na uduni wa maisha pia ililazimu kila ghetto tuishi hadi watu wanne wanne.

Changamoto.
Nilivyofika form 1 (njuka) nilipata ghetto ambalo pembeni yake palikuwa ghetto la wakaka ambao walikuwa form 4. Daah changamoto niliyopata pale haihathiki yaani.

Changamoto nyingine ni kusulubiwa na wana kijijini. Aisee kile kijijini wanakijiji wanapiga kama wanaua nyoka yaani. Ukikutwa unaenda dukani usiku au umevaa nguo za kimjini, au kuchota maji usiku (kumbuka hapo maji yanapatikana km kama 2 hivi) ni kupigwa na wengine walikuwa wanabakwa.

Kule pia tulikuwa karibu na kambi ya jeshi ya jkt oljoro nadhani. Sasa walikuwa wanawaita "makuruta'' wanatoroka wanakuja kule ni kubaka tuu.

Mungu mkubwa niliishi ghetto miezi mitatu tuu baba yangu akaja akanihamishia hostel ya kanisa ambayo ilikuwa ni private. Basi pale ikawa pona yangu.
N.B sikuwahi kubakwa, ila niliwahi kuchapwa fimbo kama mia na wanakijiji kwa kosa la kuvaa suruali na kitop (si unajua jamii za wamasai? Sasa Mimi nimetoka mjini nimezoea kuvaa vipedo). Na kesho yake ndiyo nilihama huko mtaani.

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
Nijadili PAMBALU shule ya msingi,

shule yetu iko very smart, Iko MKOA WA MWANZA, SENGEREMA jirani na wilaya ya NYAMAGANA na MISUNGWI ambako stand maarufu ya NYEGEZI inapatikana.

inawanafunzi 3500 na usheheeee.

kila darasa wanakaa wanafunzi 180 na wote wanakaa kwenye dawati!! Dawati la watu wa tatu wao hukaa watano kama kwenye hice!

Shule inawaalimu 150 wanao fundisha vizuri kwa lugha ya kiswahili na kiingereza wakiwa na vitabu vya kutosha kwa masomo yote.

Shule yetu hii ina matundu ya vyoo 24 hali inayo sababisha wanafunzi wote 3500 na ushehe kujisaidia vizuri sana na vyoo kubaki visafi kiasi unaweza lia pilau ndani ya vyoo vile.

Hatuna swiming lessons, ila tuna mpira wa sembo (chandimu) kombolela na hata kadome

Hatuna school bus tuna magari yetu yaasili TZ11 (miguu yetu)

Watoto wetu ni wasafi sana, maana wana nguo pea moja wanayo vaa january mpaka disemba.

wengi huja na daftari mkononi, kidumu cha maji na fagio la chelewa la mkono!!

Shule yetu ina toa huduma ya maji ya bomba ambayo nisafi na salama kwa watoto wetu kunywa kipindi cha mapumziko.

Karibuni PAMBALU,

Nishule bora sana ambayo watoto wamefundishwa ABCD EFG HIJK ELOMENOPNQU,

Hawa ndio taifa bora la kesho,

karibuni sana PAMBALU

Kengele yetu ni chuma chakavu,

sisi watoto wetu huingia shuleni kuanzia saa moja mpaka saa nne za asubuhi na huondoka pale wanapo hisi njaa au wamechoka,

hii inathibitisha uhuru wa uhakika kwa wanafunzi wa pambalu!!

Si lazima mwanafunzi awe na proper uniform, huku pambalu hatakama una ndala suruali ya home, sketi ha kanisani unakaribishwa sana

Shule yetu ina wakuu wa shule 10, hawa ni :-

waziri wa elimu, mbunge wa jimbo, diwani wa kata, afisa mtendaji, mwenye kiti wa bodi, mkurugenzi wa halmashauri, mkuu wa mkoa, rasi mkoa, na wengineo.

hawa wote ni wakuu wa shule maana muda wowote wanatoa maamuzi kuhusiana na shule yetu popote walipo!!

PAMBALU wanafunzi wote HUFAULU, Na wooooooote hufaulu kwenda PAMBALU SECONDARY SCHOOL, ambako huko hufika wakiwa ni wataaalamu wa kuongea kiingereza na kusoma.

hivyo wote hufaulu kwa kiwango cha dv zero!!!

Wazazi wako komited sana, wakishaleta watoto january huonekana january ingine kuwaleta wengine kama wapo!!

Wazazi wahuku ni wazalendo sana, kwani watoto wao wanapo kaachini wakiambiwa kutafuta kiti cha mtoto wake, wao husema serikali itawaletea viti.

Inapendeza kwa kweli!!

Waalimu wetu huku hufundisha wajiskiavyo, ivyo wapo huru kwa kuwa wanamishahara mizuri na minono na ya kutosha kiasi cha wao kufungua biashara zingine waweze kukuza kipato!!

KARIBUNI PAMBALU SHULE BORA TANZANIA

Sent using Jamii Forums mobile app
Fomu za kujiunga zinapatikana wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Changamoto ni nyingi sana.
Zile gheto zilikuwa zinapangishwa watoto wa kike na wakiume.
Mfano wewe unajenga nyumba yako vyumba kama kumi halafu unawapangishia wanafunzi.
Sasa unakuta mlango huu ni ghetto la wadada na mlango unaofuata ni ghetto la wakaka.
Kutokana na uduni wa maisha pia ililazimu kila ghetto tuishi hadi watu wanne wanne.

Changamoto.
Nilivyofika form 1 (njuka) nilipata ghetto ambalo pembeni yake palikuwa ghetto la wakaka ambao walikuwa form 4. Daah changamoto niliyopata pale haihathiki yaani.

Changamoto nyingine ni kusulubiwa na wana kijijini. Aisee kile kijijini wanakijiji wanapiga kama wanaua nyoka yaani. Ukikutwa unaenda dukani usiku au umevaa nguo za kimjini, au kuchota maji usiku (kumbuka hapo maji yanapatikana km kama 2 hivi) ni kupigwa na wengine walikuwa wanabakwa.

Kule pia tulikuwa karibu na kambi ya jeshi ya jkt oljoro nadhani. Sasa walikuwa wanawaita "makuruta'' wanatoroka wanakuja kule ni kubaka tuu.

Mungu mkubwa niliishi ghetto miezi mitatu tuu baba yangu akaja akanihamishia hostel ya kanisa ambayo ilikuwa ni private. Basi pale ikawa pona yangu.
N.B sikuwahi kubakwa, ila niliwahi kuchapwa fimbo kama mia na wanakijiji kwa kosa la kuvaa suruali na kitop (si unajua jamii za wamasai? Sasa Mimi nimetoka mjini nimezoea kuvaa vipedo). Na kesho yake ndiyo nilihama huko mtaani.

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Wazazi wako walikupeleka jela ya watoto watukutu Dada. Hapo kwenye suruali na kitop nimecheka kweli bahati mbaya hawakuweza kukuadabisha vizuri. Nilitegemea baada ya kuadabishwa ungekuwa unavaa magauni marefu.
Ila kuna kitu nimejifunza.

Magauni marefu navaa nikienda kanisani na kwenye misiba mdogo wangu.
Umejifunza nini?

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
Changamoto ni nyingi sana.
Zile gheto zilikuwa zinapangishwa watoto wa kike na wakiume.
Mfano wewe unajenga nyumba yako vyumba kama kumi halafu unawapangishia wanafunzi.
Sasa unakuta mlango huu ni ghetto la wadada na mlango unaofuata ni ghetto la wakaka.
Kutokana na uduni wa maisha pia ililazimu kila ghetto tuishi hadi watu wanne wanne.

Changamoto.
Nilivyofika form 1 (njuka) nilipata ghetto ambalo pembeni yake palikuwa ghetto la wakaka ambao walikuwa form 4. Daah changamoto niliyopata pale haihathiki yaani.

Changamoto nyingine ni kusulubiwa na wana kijijini. Aisee kile kijijini wanakijiji wanapiga kama wanaua nyoka yaani. Ukikutwa unaenda dukani usiku au umevaa nguo za kimjini, au kuchota maji usiku (kumbuka hapo maji yanapatikana km kama 2 hivi) ni kupigwa na wengine walikuwa wanabakwa.

Kule pia tulikuwa karibu na kambi ya jeshi ya jkt oljoro nadhani. Sasa walikuwa wanawaita "makuruta'' wanatoroka wanakuja kule ni kubaka tuu.

Mungu mkubwa niliishi ghetto miezi mitatu tuu baba yangu akaja akanihamishia hostel ya kanisa ambayo ilikuwa ni private. Basi pale ikawa pona yangu.
N.B sikuwahi kubakwa, ila niliwahi kuchapwa fimbo kama mia na wanakijiji kwa kosa la kuvaa suruali na kitop (si unajua jamii za wamasai? Sasa Mimi nimetoka mjini nimezoea kuvaa vipedo). Na kesho yake ndiyo nilihama huko mtaani.

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Hahaha acha nicheke tu ila pole sana
 
Fanya siku upate Mtaa wa Kibasila Upanga mida ya Saa 9 home watoto wanavyocheza barabarani na magari yanapita kama kawaida.

Where I schooled huwezi kuta mambo kama hayo. Mpita njia ana haki ya ku note registration bamba yako kwenye uniform na kukushtaki shule then utakipata pata.

Dar es Salaam kutwa wanafunzi kuzurura mpaka unabaki unajiuliza wanatumia system gani? Inabidi 8 to 5 kusiwe na wanafunzi wa upper primary barabarani.

Yes ule mtaa kuna hilo tatizo, pia the other side ina same case, sina jina la mtaa ila ni barabara hii ya kutoka Ngome kupita Diamond straight kwenda Kisutu Mahakama, kuna mida ya asubuhi madaladala yanashusha watoto na muda wa mchana watoto wanatawanyika, ni hatari sana.

Dar nzima ina security concerns kwa watoto wa shule, bajaji na pikipiki ndiyo main concerns, angalau madereva wa magari wanajitahidi sana.
 
Back
Top Bottom