Philipo patrick
Senior Member
- Aug 17, 2018
- 195
- 218
wapSofa La watu wawili yako pea mbili
@160,000View attachment 878330
wapSofa La watu wawili yako pea mbili
@160,000View attachment 878330
Mawasiliano naitajiBei ya kufungia mwaka
190,000
Liko Mwananyamala magengeniView attachment 979294View attachment 979295View attachment 979296
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama bado zipo...tuwasiliane 0718456529
Sio watu wote wako siriasiBiashara kwa jf ngumu Sana wengi Ni wajuaji Wa kila kitu Ila hakuna ununuaji wanachofanya Ni kukosoa na kupinga
Usumbufu Wa kutosha kuna mtu humu alinipa kazi ya kumkusanyia vitu akanielekeza nimpelekee kibaha gharama za usafiri juu yake.. Kufika kibaha hakupokea simu mpaka leo
Mwingine akasema nimpelekee ubungo naona hajafika ubungo mpaka leo..
Wanaofanya biashara wachache, wengi wao wapenda sifa kwenye nyuzi za watu.. Biashara kwa huku nimesitisha kupost tena...
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa ashafunga Uzi hapa JF hauzi tena hapa kutokana na jf members hawako serious.Habar mkuuu..hzi sofa bado zipo naziitaji..ntumie namba yako
HazipoHabar mkuuu..hzi sofa bado zipo naziitaji..ntumie namba yako
Jina LA Uzi liko IGPole sana mkuu na ni ukweli unachosema
Je insta unatumia jna gani ili wanunuz Wa kweli wakutafte
Ipo 150PlayStation2 complete inatumia flash,nakupa padi zake mbili pamoja na memory, bei 170,000( laki na sabini) nipo DarView attachment 870958
Njoo nikupe yangu 160k ina pad moja bila flash
Yeah kipo