Mwanongwa
Senior Member
- Feb 15, 2023
- 169
- 198
Mwanongwa katika pitapita zangu maeneo mbalimbali ya nchi hii, nimeona vibanda na maduka yanayouza vitu vya ndani ambayo vimetumika kwa lugha ya wenzetu wanaita (used).
Hii ni ishara tosha kuwa umasikini kwa nchi yetu umeongezeka ndiyo maana wananchi wanashindwa kujikimu na kuamua kuuza vitu vya ndani.
Minyororo ya fedha kwa Watanzania waliyowengi imeziba na mingine imefukiwa kabisa hivyo mtu anaona bora kimuokea chake.
Tunawakumbusha wanasiasa kuwa kauli ya kuupiga mwingi hadi inamwagika haina maana kinachitakiwa muambizane ukweli kuwa Wananchi wenu tumechoka mbaya.
#Mwanongwa