Nauza vitu vya ndani, KABATI, MEZA NA SOFASET

MGODOLO

JF-Expert Member
Oct 23, 2020
209
172
Habari zenu wa JF? Nina baadhi ya thamani za ndani kama mnavyo ziona

KABATI la vyombo size 5X6 kama mnavyo liona, hilo ni full mbao sio zile za kuunga

MEZA kubwa ya kioo, tena kile kioo kikubwa cha milimita 12,... Urefu mita moja, upana nusu mita, haina kreki kama mnavyo ona

SOFASET : sofa ziko pcs tatu,.. Mbili za watu wawili wawili na moja ya mtu mmoja,.. But sofa hizi ni za kurekebisha vitambaa tu...

BEI KWA VITU VYOTE NI 500,000 Mazungumzo yapo.

NB: hata ukitaka kitu kimoja wapo kati ya hivyo, tutazungumza.

LOCATION: ARUSHA SINONI
SIMU: 0755360768

KARIBUNI
IMG_20230917_115622.jpg
IMG_20230917_115639.jpg
IMG_20230917_115651.jpg

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Habari zenu wa JF? Nina baadhi ya thamani za ndani kama mnavyo ziona

KABATI la vyombo size 5X6 kama mnavyo liona, hilo ni full mbao sio zile za kuunga

MEZA kubwa ya kioo, tena kile kioo kikubwa cha milimita 12,... Urefu mita moja, upana nusu mita, haina kreki kama mnavyo ona

SOFASET : sofa ziko pcs tatu,.. Mbili za watu wawili wawili na moja ya mtu mmoja,.. But sofa hizi ni za kurekebisha vitambaa tu...

BEI KWA VITU VYOTE NI 500,000 Mazungumzo yapo.

NB: hata ukitaka kitu kimoja wapo kati ya hivyo, tutazungumza.

LOCATION: ARUSHA SINONI
SIMU: 0755360768

KARIBUNIView attachment 2752382View attachment 2752383View attachment 2752384

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Mmmhh
 
Hii ndo Ile kitu ulikuwa unanunua kimoja kimoja , unakuja kushangaa vyote vipo old fashioned
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom