Uzi maalum kwa 'vitu used'

Biashara kwa jf ngumu Sana wengi Ni wajuaji Wa kila kitu Ila hakuna ununuaji wanachofanya Ni kukosoa na kupinga

Usumbufu Wa kutosha kuna mtu humu alinipa kazi ya kumkusanyia vitu akanielekeza nimpelekee kibaha gharama za usafiri juu yake.. Kufika kibaha hakupokea simu mpaka leo

Mwingine akasema nimpelekee ubungo naona hajafika ubungo mpaka leo..

Wanaofanya biashara wachache, wengi wao wapenda sifa kwenye nyuzi za watu.. Biashara kwa huku nimesitisha kupost tena...

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio watu wote wako siriasi
 
Kuna Xbox 360 zimechipiwa,zina games zaidi ya tano ndani,zina pad Moja moja,cables na adaptors, machine hazina tatizo lolote na naziuza kwa bei ya kutupa 260k kila moja,no 0658327429,nipo DSM vingunguti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
iPhone 5s clean goes 200k

Simply xchange with samsung brand under condition

Njo whatsap 0629795064

e4308e31ce2c49bcc0fdc7453b561732.jpg
a8b746a08e1af6dfc9443cbf1a47305e.jpg
b71a9689d768f43c3cada9ba3b5f8953.jpg
 
Back
Top Bottom