Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

NINATAFUTA SEHEMU YA KUWEKA MASHINE YA KUKAMULIA JUISI YA MIWA HAPA DAR ES SALAAM.
ATAKAYEKUWA NA SEHEMU NZURI MAENEO YENYE MZUNGUKO WA WATU HASWA BARABARANI NA MASOKONI NAOMBA TUWASILIANE. NINA 50K MFUKO WA SHATI KWA ATAKAYENIPATIA ENEO. SHARTI LIWE ENEO LENYE MZUNGUKO WA WATU NA LINALORUHUSIWA KWA BIASHARA. NATANGULIZA SHUKRANI.

NIPIGIE AU TUMA UJUMBE 0743534388
 
Mkuu nenda ferry pale kivukoni utapiga ela mpk ukimbie fanyia pale stendi za mabasi utakuja nishukuru
 
MCHONGO MLIMANI CITY

Immediately
Anatafutwa mtu mwenye mwil mnene awe atleast KILO 80 na kuendelea awe km faza chrismass kwa week mbili kabla ya mpaka siku ya chrismass,malipo 30k per day muda wa kazi ni kuanzia asbh saa2 mpaka saa12 jion

Mwenye vigezo amchek huyu jamaa 0769294638
 
Wakuu kuna ndugu anahitaji mchongo wowote halali, ni mkaka ana elimu ya form 6 division 2 hajaenda chuo mwaka huu, hivo kwa niaba naomba kama kuna sehemu yoyote hata manual works ataweza. Ni mkaka fulani anajitambua sana hivo hatokuangusha kwenye kazi yoyote utakayompa.
 
Wakuu...
Mimi ni barber, nahitaji kwa yeyote mwenye mchongo wa barbershop aniunganishie.
Nina uzoefu wa kunyoa style na aina tofauti za nywele. Napatikana dar es salaam.
Kama una duka na unataka barber au unafahamu mtu anahitaji barber tafadhali wasiliana nami ili tupeane michongo.

0782821041
 
MCHONGO MLIMANI CITY

Immediately
Anatafutwa mtu mwenye mwil mnene awe atleast KILO 80 na kuendelea awe km faza chrismass kwa week mbili kabla ya mpaka siku ya chrismass,malipo 30k per day muda wa kazi ni kuanzia asbh saa2 mpaka saa12 jion

Mwenye vigezo amchek huyu jamaa 0769294638
Shukran sana ni wakati wa kuchangamkia fursa sas
 
WAKUBWA MWENYE CONNECTION YA KAZI YA AFISA MTENDAJI WA KIJIJI AU MTAA (CERTIFICATE OF PUBLIC ADMINISTRATION AND MANAGEMENT SYSTEM) UDOM

AHSANTENI NDUGU ZANGU
Ingia ajira Portal wametoa ajira nyingi sana kiukweli ukituma maombi huwezi kosa bahatika hata sehemu moja tuma uwezavyo
 
MCHONGO MLIMANI CITY

Immediately
Anatafutwa mtu mwenye mwil mnene awe atleast KILO 80 na kuendelea awe km faza chrismass kwa week mbili kabla ya mpaka siku ya chrismass,malipo 30k per day muda wa kazi ni kuanzia asbh saa2 mpaka saa12 jion

Mwenye vigezo amchek huyu jamaa 0769294638

@⁨+255 745 103 131⁩ @⁨+255 715 171 612⁩
 
MCHONGO MLIMANI CITY

Immediately
Anatafutwa mtu mwenye mwil mnene awe atleast KILO 80 na kuendelea awe km faza chrismass kwa week mbili kabla ya mpaka siku ya chrismass,malipo 30k per day muda wa kazi ni kuanzia asbh saa2 mpaka saa12 jion

Mwenye vigezo amchek huyu jamaa 0769294638
Mkuu hii n serious niipost whatsap?

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Natafuta connection ya wateja wa, kuku,wapo kuku 300 madume na majike,pia na bata,.anaechukua kuanzia kuku 50 na kuendelea.ni chotara wenye kilo 5 .karibu Sana,0622310464.
 
Back
Top Bottom