Uzembe wa simba kuhusu ulinzi wa CEO Barbara utawagharimu, acheni mazoezi ya wazi kila siku

Kuna Watu mna Upumbavu kweli kweli hivi dunia ya leo kuna haja ya Timu Kujificha ikiwa inafanya Mazoezi yake? Liverpool FC ikicheza na Manchester United FC timu zote hizi zikijiandaa na huo Mpambano wao ( Derby ) huwa zinajificha? Kwa Mtizamo wa hovyo kama huu wako Soka la la Tanzania Kukua na kuwa la Kisayansi ni ngumu.

Kiufundi na Kisayansi pia kwa Mpira wa Siku hizi kuna Kitu kinaitwa Football Intelligence au Team Intelligence Department ambapo Wapinzani wako hawana haja ya Kutizama Mazoezi yako bali Mikanda tu ya Video ya Mechi zako au ujio wao Physically kuja Kutizama Mechi zako za Ligi na hata za Kimataifa ulizocheza kupitia Mtu aitwae Team Performance Analyst ( ambaye Simba SC pia wanae kutokea nchini Zimbabwe ) zinatosha Kwao Kukusoma ulivyo Kiubora na Kimapungufu.

Mwisho Mashabiki wa Simba SC ni Waungwana, Wastaarabu na Simba SC ndiyo Klabu yenye Intellectuals wengi ndani na hata nje ya Tanzania hivyo hawawezi Kumvunjia Heshima CEO Wao ( Wetu ) Barbara Gonzalez kama ufikiriavyo Wewe Mwana Yanga SC Mnafiki ila hapa umejifanya ni Simba SC Mwenzetu.
Mkuu nimemuonesha Aden Rage hapo ulipoandika "Intellectuals" amecheka hadi machozi yamemtoka.
 
kuna kitu sijajua hadi leo simba kinanishangaza, sijui ni uzungu mwingi au vipi? kwanza ni kwanini mazoezi ya simba kila siku ni ya wazi? si muende hata Gymkhana palipojificha?

Huyu CEO kule zanzibar watu walimshika matiti na makalio akakimbilia polisi hadi leo kesi hakuna na kwa sasa maadui wameongezeka kwa kasi wengine walimtishia hadi kwenye audio clips embu angalia hii clips halafu uniambie hawa watu kama wako seriuous kweli hivikweli kwenye hii mikusanyiko mnaamini kila mtu ni mshabiki wa simba????

Anyway labda hata muhusika mwenyewe hajali kuhusu usalama wake, Imeshindikana kukodi hata mabaunsa wawili kwenye mikusanyiko hiyo?hata wapambe tu wa kum shield? endeleeni na uzembe wenu

Kumbuka huyo ni mwanamke tena mrembo , na tunaishi katika jamiii inayomchukulia mwanamke poa,kuna siku atatomaswa hadharani itakuwa too late

Hutak au
 
We ni mpumbavu week zilizopita ulileta thread mwenyewe kwamba kwanini Simba anacheza wazi ,hapa unasema dunia ya leo mpira ni wazi,tukuelewe vipi we shoga
Siyo hivyo tu, hata CEO wa Simba alipodhalilishwa kule Zanzibar huyu GENTAMYCINE alishauri CEO aongezewe ulinzi na awe na tahadhali kubwa anapokuwa kwenye halaiki.Leo mwenzake CHIZI VITABU kasisitiza yale yale halafu jamaa linaibuka kumpinga.

Hii maana yake ni nini?Kwamba unashauri jambo fulani,kisha akatokea mtu mwingine akashauri jambo hilo hilo halafu unaanza kumpinga?Au jamaa anataka awe anasomwa yeye tu?Ni unafiki,ujuaji wa kizamani na kutafuta sifa za kijinga ndo vinavyomsumbua GENTA.
 
Hata Mimi napinga kufanya mazoezi ya wazi, mpira wa Sasa ni mbinu zaidi na mpinzani wako anajiandaa jinsi utakavyokuja. Sasa hivi Simba ikicheza na yanga list yake inajulikana siku tatu kabla na hata fomesheni yake inajulikana mapema waache kujifanya wanajua
Kuna haja gani ya kufanya mazoezi ya kujificha wakati mechi iko wazi? Mpinzani wako akitaka kukusoma anachukua mechi zako tano za nyuma basi
 
Siyo hivyo tu, hata CEO wa Simba alipodhalilishwa kule Zanzibar huyu GENTAMYCINE alishauri CEO aongezewe ulinzi na awe na tahadhali kubwa anapokuwa kwenye halaiki.Leo mwenzake CHIZI VITABU kasisitiza yale yale halafu jamaa linaibuka kumpinga.

Hii maana yake ni nini?Kwamba unashauri jambo fulani,kisha akatokea mtu mwingine akashauri jambo hilo hilo halafu unaanza kumpinga?Au jamaa anataka awe anasomwa yeye tu?Ni unafiki,ujuaji wa kizamani na kutafuta sifa za kijinga ndo vinavyomsumbua GENTA.
Ceo kuongezewa ulinzi sawa lakini mazoezi ya wazi na kujificha yote yapo kwahiyo usidhani simba wana ya wazi tu
 
Siyo hivyo tu, hata CEO wa Simba alipodhalilishwa kule Zanzibar huyu GENTAMYCINE alishauri CEO aongezewe ulinzi na awe na tahadhali kubwa anapokuwa kwenye halaiki.Leo mwenzake CHIZI VITABU kasisitiza yale yale halafu jamaa linaibuka kumpinga.

Hii maana yake ni nini?Kwamba unashauri jambo fulani,kisha akatokea mtu mwingine akashauri jambo hilo hilo halafu unaanza kumpinga?Au jamaa anataka awe anasomwa yeye tu?Ni unafiki,ujuaji wa kizamani na kutafuta sifa za kijinga ndo vinavyomsumbua GENTA.
Huyo jamaa ana wivu wa kike mwingine akileta hoja ,ni mjinga moja hivi hana mbele wala nyuma anakesha vijiwe vya kahawa
 
Siyo hivyo tu, hata CEO wa Simba alipodhalilishwa kule Zanzibar huyu GENTAMYCINE alishauri CEO aongezewe ulinzi na awe na tahadhali kubwa anapokuwa kwenye halaiki.Leo mwenzake CHIZI VITABU kasisitiza yale yale halafu jamaa linaibuka kumpinga.

Hii maana yake ni nini?Kwamba unashauri jambo fulani,kisha akatokea mtu mwingine akashauri jambo hilo hilo halafu unaanza kumpinga?Au jamaa anataka awe anasomwa yeye tu?Ni unafiki,ujuaji wa kizamani na kutafuta sifa za kijinga ndo vinavyomsumbua GENTA.
Mtateseka sana nami Juha kama Wewe.
 
Back
Top Bottom