CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez jifunze Maneno ya Kuongea ukihojiwa na acha Dharau tafadhali

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
MINOCYCLINE ni kama Bahari ambayo kamwe huwa haikai na Uchafu kwakuwa nina desturi ya Usafi.

CEO wa Simba SC huko nyuma nilishaambiwa na Watu wako wa Karibu na hata Haji Manara alishawahi kusema kuwa una Dharau sana nikadhani walikuwa Wanakuonea tu ila kwa Kauli yako ya Usiku huu nimethibitisha rasmi.

CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez usiku huu ukizungumza katika Mahojiano na Mtangazaji wa Sports Extra Clouds FM umesikika tena kwa Dharau kabisa ukisema kuwa Simba SC yetu haiwezi Kucheza Mechi zake za Kirafiki na Vilabu kama cha Cambiaso Academy FC..

CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez hivi zile Mechi ambazo Simba SC yako ilikuwa ikicheza mara kwa mara ( back to back ) na Cambiaso Academy FC ya Kocha Mzawa ninayemkubali Tanzania nzima Mecky Maxime walikuwa Wanaomba Wao au Sisi Simba SC?

CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez au unadhani hatujui kuwa Wewe ndiye ulikuwa ukiwapigia Simu Viongozi wa Cambiaso Academy FC Ili wacheze na Simba SC yako ukisema kuwa una Wachezaji Vijana wa kutoa Changamoto kwa Wachezaji wa Simba SC yako?

Ninachojua Cambiaso Academy FC hawajawahi kuomba Mechi yoyote ya Kirafiki na Simba SC yako isipokuwa Simba SC yako ndiyo mara kwa mara ilikuwa ikiwaomba Cambiaso Academy Kucheza nao Mechi Mazoezi na hadi Mechi za Kirafiki na nakumbuka kuna Mechi zetu Mbili na Wao walitunyoosha ( walitufunga ) huku Wakiupiga mwingi kama Makarani wa Sensa na Vishkwambi vyao visivyotunza Chaji.

CEO wa Simba SC Barabara Gonzalez hawa hawa Cambiaso Academy FC uliowadharau na Kuwadhihaki kuna Siku utawahitaji hivyo nao wasipokupa Ushirikiano usije ukanuna na kuwawekea Bifu zako.

Hivi ni kwanini Wewe Dada CEO wa Simba SC Barabara Gonzalez una Dharau hivi na kujiona ni kila Kitu ndani ya Simba SC yetu?

au unataka sasa tufunguke na mengine ambayo huwa unamfanyia Msemaji wa sasa Simba SC Ahmed Ally kiasi kwamba akikaa nasi Masela wake anasema akipata Mchongo wa maana anaachana na Simba SC?

Tunajua kuwa hata aliyewahi kuwa Msemaji wetu Simba SC Ezekiel Kamwaga alipenda mno Kuitumikia Simba SC ila Dharau zako na Kashfa zako kwa Wafanyakazi ( Watendaji ) wa Simba SC zilimvunja Moyo ndipo akaamua Kutimkia zake Masomoni nchini Uingereza ambako yuko huko mpaka sasa.

Jifunze kuacha Dharau na Kashfa zako CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez na chagua maneno ya Kuongea na mahala gani sawa?

Na ni tabia yako ya Ubishi na kutotaka Kusikiliza Ushauri wa Watu ndiyo inapelekea kila tukicheza na Yanga SC ( katika Derbies zetu ) wawe Wanatufunga vile Watakavyo kiasi kwamba Simba SC sasa inafananishwa na Mke asiyebishia Kuliwa Uroda ( Kungonolewa ) na Mume Shababi ( Baro Baro ) Yanga SC.

Na kuelekea Mechi yetu na Watani zetu Yanga SC ( NBC Premier League ) tarehe 23 Oktoba, 2022 tutakuomba utukabidhi Timu ( Simba SC ) Ili tuiandae kwani tumeshagundua ikiwa chini yako na Wasaliti Wenzako akina Abbas Suleiman ( Mratibu ) na Mkuu wa Itifaki wa Kujiteua Makoye na Mwenyekiti wa Simba SC Mangungu huwa mnauza Ramani za Vita kwa Yanga SC ( hasa kupitia GSM ) na huwa mnalipwa Fedha nyingi sana tu na Simba SC yetu Kufungwa kila mara.

Ukiona nakusema jua Ninakupenda!!
 
Mimba ya morrisson inamsumbua
 
Huyo dada ana akili ndogo sana. Leo huko Twitter kapost et simba imetoa 36% kwenye timu ya taifa watu wameruka nae balaa. Kanapenda kujisifu sifu ujinga na kuleta mgawanyiko popote pale kaliko.
 
Kandezi sana, hakaoni kanasababisha wengine washangilie wageni
 
Umeandika meeeeeengiii utadhani utatulipa tukisoma.Mecky Mexime?Yule anayeiponda Simba kila siku?Halafu,Babra ni mwanamke.Ulitaka aongeaje?Acha ujinga!
 
Back
Top Bottom