Uzalishaji wa mende kwa matumizi ya binadamu na mifugo pamoja na masoko yake

Watu wengi huwa wanazani au wanataka watu wafanye kile wanacho penda wao au kile wanacho kijua wao au kile kitakacho wafurahisha wao.
 
Mende wanafugwa yes kwa ajili ya kitoweo na pia kulishia mifugo ila sio hawa mende wa chooni au kwenye makabati ya vyombo
 
Kuna ka-taasisi kanaitwa Kijani Kibichi dar, nilisikia redioni wanasema wanashughulika na ufugaji wa hao wadudu kwa wingi, na masoko wanayo, bei elfu 15/kg.. Embu jaribu kuwatafuta
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom