Uzalishaji wa mende kwa matumizi ya binadamu na mifugo pamoja na masoko yake

Hahha ushatoa Mate kisa 70k per kilo ushafanya Uchunguzi hata wa soko lake na Wapi wanauzwa?
Hahaha Tusiwe wepesi wa kuhukumu, Mimi Sitaki kwa ajili ya kuuza nataka kwa ajili ya mifugo yangu, Nimekua nikitafuta Sana Minyoo na Mende ili nizalishe kwa ajili ya Kuku wangu.

Hata hapa jukwaani Nimeshapost mara nyingi tu kuulizia hii mambo. Asante Sana
 
Mende ni mdudu wenye protein nyingi zaidi ya mdudu au nyama yoyote duniani,pia maziwa ya mende yana protein nyingi kuliko maziwa yoyote duniani,hivyo hutumika kama chakula cha binadam au ndege,mende mmoja huuzwa hadi sh. 500
Ptyuuuuuuuuuuuuuuuu hadi kinyaa
 
Hapana, yani ndani kwangu tu heri nikutane na panya 100 kuliko mende 1
Aisee.., ila huwezi kufugia ndani hao. Itakuwa nje kny banda, au shambani kabisa... Kama hyo bei ya elfu 70/kg iliyotajwa humu na mdau ni kweli, ni biashara nzuri yenye mpunga wa maana
 
Hii ni fursa hasa hao funza. Lakini wanunuzi wapo? Niko mbioni

Hahaha Tusiwe wepesi wa kuhukumu, Mimi Sitaki kwa ajili ya kuuza nataka kwa ajili ya mifugo yangu, Nimekua nikitafuta Sana Minyoo na Mende ili nizalishe kwa ajili ya Kuku wangu.

Hata hapa jukwaani Nimeshapost mara nyingi tu kuulizia hii mambo. Asante Sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom