Kifo cha mende chanzo cha wanaume kuonekana legelege msimu wa mvua

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,945
5,850
Ndugu zangu najua weekend imeanza kuna walevi pamoja na wapenda toto's hasa katika msimu huu wa mvua.

Nawashauri kila jambo na kiasi na tufanye kwa tahadhari sana , pia kwa wale wasio na upande wowote wabaki hivyo hivyo sawa sawa na imani zao.

Ndugu kifo cha mende ukiangalia kwa makini sana na ukakitafakari mno huku ukilinganisha na heka heka za kipindi hiki cha mvua za hapa na pale na baridi kidogo utagundua hakina tofauti na kupiga push-up juu ya mwili wa mwanamke huku ukiwa umejichokea sana na vibaridi vya hapa na pale baada ya kunyeshewa na mvua huko kwenye mihangaiko yako ya kutafuta hela kama mwanaume

Ndugu uwapo umemweka umpendaye mithili ya kifo cha mende hakika utakuwa ukikodolewa macho kila mahali na umpendae kiwizi wizi pamoja na kumpa nafasi ya kukufanyia tathimini za hapa na pale na hakika akifunga macho fahamu wazi anasave data zake za utafit, ndugu zangu kama huna mazoezi hapa utatoa jasho sana na yeye atakuangalia unavyoloa jasho mpaka kwenye kifua na ukiwa mvivu mno kilo zako zitakua zikimnyanyasa sana hali kadhalika mkao huu unampa mwanamke chance ya kukusukumizia kwa ndani mithili ya kukubana kiuno na hapa ndipo utakapo pimwa na kupimika sana mpaka useme basi.

Mwanaume mwezangu kama huna uwezo wa angalau kupiga hata push-up 50 kwa week sahau kuwa mtata juu ya mtoto mzuri awapo katika kifo cha mende, ndugu zangu hapa lazima uonekane legelege mbele ya mtoto mzuri na hakika hautaweza kujitetea kwa namna yeyote ile maana hii style ni ya kivivu sana na watakatifu ndio waipendayo na ili kuepuka hii aibu jaribuni kumpiga huyo mrembo wako mbuzi kagoma, mchumishe mchicha hewa au jifanyishe mazoezi ya push-up kama adhabu binafsi.


Nb: UZINZI NI DHAMBI TAFUTA MKE WAKO HALALI NA ULEVI NI AIBU KUNYWA KWA KIASI


Screenshot_20231110-204943.jpg
 
Back
Top Bottom