Uzalendo umeshuka na kutoweka kwa Watanzania bada ya Rais Samia kurithi Urais. Watanzania hawamuaamini kwa kila kila jambo

Mitaani anaonekana ni rais anaendesha nchi kama picha tu huku wanaomua nchi iende vipi wapo kando .

Ameonekana ni rais ambaye hana maamuzi ya msingi. Wanaoiba mali za umma kwa ufisadi mkubwa yuko nao.

Watumishi wa hali ya chini wakiiba hata mil 5 anag'aka.

Anaendesha nchi kwa kwa kudhibitiwa na genge la wahuni.

Ni rais ambaye yupo yupo tu.
NAPITA TU mwenzenu
 
Huo muda unaotumia kuandika uzi wa chuki dhidi ya Rais Samia ungetumia kupigania mambo yako binafsi ya kimaendeleo. Mama Samia ni rais wako hadi 2030 utake usitake. Tumwombee afya njema na uhai. Na ikiwapendeza wabunge wetu wanaweza wakafanya kitu kwenye katiba ili kukidhi mahitaji ya sasa Rais Samia kuongoza hadi 2040.
 
Anajifanya mpole hashughuliki na wabaya kwa vitendo vikali kumbe ndio mlea dhuluma, uonevu, unyonyaji, ufisadi, na mabaya yote dhidi ya raia wema
 
Nashangaa hadi mida hii huu uzi bado upo! Hawa modereta wameshafuta nyuzi nyingi tu zenye mlengo wa kushoto.
 
BAVICHA munatumia nguvu kubwa sana kuonyesha udhaifu wa mama ila natija ya nguvu yenu haionekani aisee maana ajenda zenu ni za kufuata upepo, limekuja la katiba munalo, mukaliacha hewan mukahamia bandari, mukapotosha mukaona hakuna la maan sasa mumekuja na umeme na dollar tushawazoea tunasubr la kesho ila kuhusu kupata urais, mtasubiri nkiyama.
Zwazwa kwenye ubora wako

Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
 
Mitaani anaonekana ni rais anaendesha nchi kama picha tu huku wanaomua nchi iende vipi wapo kando .

Ameonekana ni rais ambaye hana maamuzi ya msingi. Wanaoiba mali za umma kwa ufisadi mkubwa yuko nao.

Watumishi wa hali ya chini wakiiba hata mil 5 anag'aka.

Anaendesha nchi kwa kwa kudhibitiwa na genge la wahuni.

Ni rais ambaye yupo yupo tu.
Labda kwako wewe ndio umeshuka sisi wezio umeongezeka.halafu watanzania gani unawazungumzia?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
We umewahi kuona wapi Rais anawaambia mawaziri wake watupige kwa urefu wa kamba zao, yaani anabariki upigaji live live!.
 
Hata Mimi simuamini kabisa huyu mama. Hili nalo kama watanganyika twende tukalitazame
 
Kwa kadiri ninavyoijua CCM na wana CCM wanaye tu SSH na ni chaguo lao mpaka ifikapo 2030. Hata akijitokeza kada mzalendo na mwenye uchungu wa kutaka kuleta mabadiliko kama JPM,, bado kikwazo kitakuwa ni utamaduni wao mbaya wa kutotaka kumshindanisha, na pia kutoa fomu moja tu kwa ajili yake yeye tu.

Ni lazima uchaguzi wa 2025 utatawaliwa na wizi mkubwa wa kura katika nafasi ya urais ili kulazimisha ushindi wake uonekane kuwa ni wa kimbunga. Kwa jinsi ambavyo vyombo vya ulinzi na usalama vilivyo, na hulka ya Watanzania ilivyo, jipu limekaa pabaya sana, ila hakuna dawa yoyote iliyopo kwa sasa ya kulitibu, ni kulisubiria tu mpaka liive lenyewe, litumbuke na kisha lipone lenyewe.
Hapa duniani, mwenye pesa ndiye mwenye nguvu na maamuzi..

Inawezekana tu kuishinda nguvu ya pesa kuamua kinyume cha haki na adili iwapo nguvu iliyo kuu zaidi [Mungu - Yehova katika Kristo Yesu] itakuwa katikati ya wanaopinga dhuluma na haki; mateso na uonevu..

Otherwise, kama sisi sote hatutalitambua hili na kuchukua hatua stahiki, basi daima wenye pesa ndiyo wenye nguvu ya kuitawala dunia na kwa maana hiyo Tanzania..

Ni kweli Rais Samia Suluhu Hassan japo hakubaliki na Kila mtu, lakini akiamua kutumia nguvu ya pesa, hata wewe anaweza kukununua na ukamfanyia endorsement na ukawa huyaoni mapungufu yake kabisa.!
 
Huo muda unaotumia kuandika uzi wa chuki dhidi ya Rais Samia ungetumia kupigania mambo yako binafsi ya kimaendeleo. Mama Samia ni rais wako hadi 2030 utake usitake. Tumwombee afya njema na uhai. Na ikiwapendeza wabunge wetu wanaweza wakafanya kitu kwenye katiba ili kukidhi mahitaji ya sasa Rais Samia kuongoza hadi 2040.
mpumbavu katika ubora wako,unapigania maendeleo yapi wakati kila siku watu wanafunga biashara kwa kukosa umeme!!!bila shaka utakuwa kada wa chama cha majambazi unatetea ugali wako
 
Back
Top Bottom