Heee picha isha nyofolewa tayari
Lakini kweli bana yule mke wa mtu kuja kumuanika hapa haikuwa njema
Tena ikiwezekana nyofoa na sredi yote inaweza kuvunja ndoa hii, maana jamaa mpira unaweza usichezeke huko kwa mkewe kuanikwaa mitandaoni
Kuna njemba nilisoma nayo (sio mie lakini), ilikuwa inaweza kukupa rangi ya kufuli la mwanamke alilovaa kwa kuangalia kivuli chake tu. Kulaleki! hii njemba ilifeli la saba na hivi tunaongea inaugua kaswende.