Mchaka Mchaka
JF-Expert Member
- Jul 20, 2010
- 4,517
- 1,428
Nina maana uzuri wa nje tu! kule magogoni ni hola!ebu tudadafukie kidogo!!
Nina maana uzuri wa nje tu! kule magogoni ni hola!ebu tudadafukie kidogo!!
Mwanangu huku umefuata nini.................?
Kuna njemba nilisoma nayo (sio mie lakini), ilikuwa inaweza kukupa rangi ya kufuli la mwanamke alilovaa kwa kuangalia kivuli chake tu. Kulaleki! hii njemba ilifeli la saba na hivi tunaongea inaugua kaswende.
Inaonekana ww ulikua unaishia kwenye ujanja wa kioo cha kichongeo. Tungesoma wote ningekua nakurushia ngumi!
upuuuzi
au kuzimia!
Unaweza kupigana wewe?
U wanna try me ngabu boy?
Inaonekana ww ulikua unaishia kwenye ujanja wa kioo cha kichongeo. Tungesoma wote ningekua nakurushia ngumi!
Aaah Wapi ameishabaki sura tu lakini huko ni Screpa tu kitu imeisha depreciate hadi -ve value....
sizitaki mbichi hizi,sungura akagumia
Naona nafanya kazi,bila faida kujua
Yakamtoka machozi, matunda akalilia
Matunda akalilia, sungura nakuambia
I'm too much for ya!
Ile ya kioo sio mimi tu, hata mwalim wangu wa physics alikuwa na waifu na nyumba ndogo lakini still alikuwa anakuja ka kioo chake. Vioo ni janga la taifa aisee! uskute hata hawa mods wetu pia ni wazee wa vioo.
heri mie sijasema
Tunaomba chorus
U think so? Or u feel so?
I know for a fact.
Bahati yako nasubiria mwisho wa dunia,leo staki ugomvi na mtu
upuuzi wakati wenzio hata hatuwezi kuamuka kwenye meza zetu. unatumia masaburi