Uwoya live, abarikiwe

Uwoya live, abarikiwe

shukuru kwa kila jambo hata kuona kwa macho
 
Heee picha isha nyofolewa tayari
Lakini kweli bana yule mke wa mtu kuja kumuanika hapa haikuwa njema
Tena ikiwezekana nyofoa na sredi yote inaweza kuvunja ndoa hii, maana jamaa mpira unaweza usichezeke huko kwa mkewe kuanikwaa mitandaoni
Nimeiweka vizuri,hakuna mambo ya ndoa mkuu picha kapiga mwenyewe tena kwa hiyari yake kaweka pozi kwa waandishi wa habari wakamfotoa.No complain
 
kumbe huwa mnapiga eksirei kabisa eeh? ngoja niende tume ya mionzi wanitengenezee gagulo unpenetretable,lol

Kuna njemba nilisoma nayo (sio mie lakini), ilikuwa inaweza kukupa rangi ya kufuli la mwanamke alilovaa kwa kuangalia kivuli chake tu. Kulaleki! hii njemba ilifeli la saba na hivi tunaongea inaugua kaswende.
 
huh....................hebu nile karoti kwa wingi na mboga za majani then nirudi kuangalia tena
 
kwani huyu naye ni mashuri hapa kwetu...
 
Kuna njemba nilisoma nayo (sio mie lakini), ilikuwa inaweza kukupa rangi ya kufuli la mwanamke alilovaa kwa kuangalia kivuli chake tu. Kulaleki! hii njemba ilifeli la saba na hivi tunaongea inaugua kaswende.
kwikwikwikwikwikwikwikwkiw kwikwikwikwikwiwkwi
 
Back
Top Bottom