Mimi ni baba yako siyo dogo!
Kama hivyo basi wewe ni chekechea!Huku jukwaani umri unapimwa na pointi zako.
No zitakuwa nyuzi 3 kuhusu the same issue.Sounds good, japo ingependeza zaidi kama ungeleta uzi wake moja kwa moja.
Kama hivyo basi wewe ni chekechea!
Dah kwamba haiwezi kuwa supermarket!!!Lazima uwe mwendawazimu kufikiria kuwa Rais anafanya kazi ya kugawa dawa kwa wenye maduka.
Kwanza sijawahi kusikia kuwa dawa zinauzwa supermarket. Hii bila shaka haipo kwenye kundi la dawa ndiyo maana inauzwa kwenye maduka ya kawaida. Labda wameiweka kqenye kundi la vinywaji visivyo na kileo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabudi alikuwa ana target vilaza wa aina yako.Yaani uongo wa waziri wako huuoni Kama ni tatizo Ila tatizo kwako ni jamaa kukuhabarishaWe jamaa unahangaika huchoki kila mda unaanzisha uzi
What's the impact?Kabudi alikuwa ana target vilaza wa aina yako.Yaani uongo wa waziri wako huuoni Kama ni tatizo Ila tatizo kwako ni jamaa kukuhabarisha
Kwa hiyo rais wa Madagascar ni distributor tu and why rais?Au magu nae anataka kuwa wakala mkuu wa hiyo miti shamba hspa Tz au?Mkuu hapa wewe ndio mwenye matatizo yakuelewa. Hivi ulielewa kuwa rais anamfuata kila mgonjwa anampa au?
dah.
Kabudi akikutolea yale macho unaweza hisi anataka kukumeza kumbe ndio swag zake mzee wa Kigogo
Ndio maana na mimi nimemuomba atutajie hiyo supermarket ipo sehemu gani na inaitwajeSidhani iyo supermarket ni TANZANIA, hata ukiangalia matangazo yake kwenye kuta unaona imekaa mazingira ya nje ya nchi
Impact ya kusema uongo au kutarget vilaza of your type ?What's the impact?
Kwa hiyo kwako wewe mtu kusema uongo au kukuongopea is not an issue
Kwahiyo tumepokea dawa kutoka kwa DJ...ulimwelewa ndivyo sivyo Prof. Alisema ili itoke Madagascar lazima kibali cha Rais aliyekuwa DJ