Uwongo wa mchana wa Prof. Kabudi kuwa dawa inagawiwa na Rais Madagascar kumbe ipo hadi madukani

Usimwamini mwana siasa (hasa wa ccm) hata kama akiwa baba/mama yako mazazi.
Taarifa za wapekuzi zinaonyesha kwamba Kabudi hakupewa na rais wa nchi ile wala hata hakupokelewa , kanunua Super Market tu , tena bei yenyewe kapigwa kishenzi !! kumbe alienda madagascar kama wanavyoenda wateja wengine tu .

Poor Kabudi !
 
Duuh
 
Riziwa amuaka nyangadatuku veli veli......

Noma likwe likwe
Zichechou uuh
tapatalk_1584949270792.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti carolies..,ukiulizwa imekuathiri vipi,jibu la kueleweka huna😅..,Sasa unavyojadili hili toka jana si umepoteza calories zaidi.
Wewe kilaza ni kuwa.ukizoea kusema uongo,na watu wakazoe kuwa wewe no msema uongo,Kuna siku utasema Jambo la kweli Ila watu watapuuza wakiamini ni uongo ule ule,hapo ndo ule msemo wa majuto ni mjukuu humake sense
 
We sema tu kuwa wewe na serikali hazipandi..,sio unajizungusha zungusha tu.
 
28 Reactions
Reply
Back
Top Bottom