Uwongo wa mchana wa Prof. Kabudi kuwa dawa inagawiwa na Rais Madagascar kumbe ipo hadi madukani

Hicho ni kinywaji chenye kutibu siyo lazima kikae pharmacy. Pili, noti ya nchi ina saini ya au gavana au Rais au vyovyote vile. Hiyo saini ina maana itatumika kwa noti zote halali. Siyo lazima kila noti ikitoka isainiwe. Vivyo hivyo kwa ruhusa ya Rais wa Madagascar kugawa hizo dawa ni dhahiri ofisi yake inatoa au kugawa. Siyo yeye kila atajaye ni lazima aende aonane naye.
Nimetumia mifano kukuleta katika uelewa wa Level yako.
Ukienda kwa wanakijiji kipindi cha baridi na unataka kugawa masweta kwa watoto wachanga kijijini usiwaambie nataka kugawa masweta kiasi cha tani kadhaa za ujazo hawatakuelewa! Bali waambie wanakijiji nitagawa masweta matatu matatu kwa kila mtoto aliye na atakayezaliwa kipindi hiki cha baridi. Hapo wakiangalia tatizo la baridi, wakiangalia idadi ya watoto wakilinganisha idadi ya mgao, hakika watakuelewa.
Wewe nimekufananisha na mwanakijiji na nimekupeleka angle hiyo ya uelewa unielewe!
Viva Magufuli!
Poor explanation from a low mind.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uelewa wako tu mdogo!! Sasa imefikaje hapo kwenye supermarket kama siyo kwa kibali cha Rais wao? Ukiwa na ubongo ulioathirika na saccos ni shida!

Huu ujinga mnaoongea humu hadi unatia kinyaa. Nadhani kile kikombe cha babu kingetokea kipindi hiki cha waamini ushirikina, ingegaiwa kwa kibali cha rais.
 
Lazima uwe mwendawazimu kufikiria kuwa Rais anafanya kazi ya kugawa dawa kwa wenye maduka.

Kwanza sijawahi kusikia kuwa dawa zinauzwa supermarket. Hii bila shaka haipo kwenye kundi la dawa ndiyo maana inauzwa kwenye maduka ya kawaida. Labda wameiweka kqenye kundi la vinywaji visivyo na kileo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi kabisaaa!!!
Hii dawa itakuwa ni kinywaji baridi kama ilivyo apple punch ya bakhresa
 
Hicho ni kinywaji chenye kutibu siyo lazima kikae pharmacy. Pili, noti ya nchi ina saini ya au gavana au Rais au vyovyote vile. Hiyo saini ina maana itatumika kwa noti zote halali. Siyo lazima kila noti ikitoka isainiwe. Vivyo hivyo kwa ruhusa ya Rais wa Madagascar kugawa hizo dawa ni dhahiri ofisi yake inatoa au kugawa. Siyo yeye kila atajaye ni lazima aende aonane naye.
Nimetumia mifano kukuleta katika uelewa wa Level yako.
Ukienda kwa wanakijiji kipindi cha baridi na unataka kugawa masweta kwa watoto wachanga kijijini usiwaambie nataka kugawa masweta kiasi cha tani kadhaa za ujazo hawatakuelewa! Bali waambie wanakijiji nitagawa masweta matatu matatu kwa kila mtoto aliye na atakayezaliwa kipindi hiki cha baridi. Hapo wakiangalia tatizo la baridi, wakiangalia idadi ya watoto wakilinganisha idadi ya mgao, hakika watakuelewa.
Wewe nimekufananisha na mwanakijiji na nimekupeleka angle hiyo ya uelewa unielewe!
Viva Magufuli!

Mtu akiona hili furushi la maneno anaweza akadhani kuna point, kumbe ni utoto mtupu.
 
Uelewa wako tu mdogo!! Sasa imefikaje hapo kwenye supermarket kama siyo kwa kibali cha Rais wao? Ukiwa na ubongo ulioathirika na saccos ni shida!
Isingekuwa jambo la kuhadithiana kama rais ndiye anatoa ruhusa,,, kauli yake ililenga kuonyesha kuwa rais amekaa pharmacy anagawa dawa ya covid.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujaelewa lugha ya mabeberu! Nimekuuliza kuwa point yako ilikuwa nini kwenye comment yako?

Yaani unaona umeuliza kwa lugha ya ajabu kiasi kwamba nimepotea njia, narudia tena, acha kutetea mambo ya kihanithi we dogo.
 
Back
Top Bottom