Uwongo wa mchana wa Prof. Kabudi kuwa dawa inagawiwa na Rais Madagascar kumbe ipo hadi madukani

Mkuu hapa wewe ndio mwenye matatizo yakuelewa. Hivi ulielewa kuwa rais anamfuata kila mgonjwa anampa au?
dah.
Kila kitu hata cha hovyo mnatetea tuu, bado kinyesi chao mseme ni keki kwa jinsi mnavyo jitutumua.
Hamuoni ni jambo baya na la aibu kuwa na viongozi wanaodanganya watu kama vile watu hao ni wajinga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hapa wewe ndio mwenye matatizo yakuelewa. Hivi ulielewa kuwa rais anamfuata kila mgonjwa anampa au?
dah.
Hiyo kauli ya Rais Mwenyewe ndio anagawa, ni kauli anayoweza kutoa mtu mzushi au mwenye matatizo ya akili.
 
Ukisikiliza Video Hii Waziri Kabudi Anasema '.Kule Madagascar Dawa Hii Anagawa Raisi Mwenyewe. Dawa Hii Haigaiwi Hovyo hovyo.' Lakini ukweli ni kwamba hadi kwenye Super market dawa hii inauzwa Siku Zote Za kuambiwa changanya na zako View attachment 1445926View attachment 1445926
Uelewa wako tu mdogo!! Sasa imefikaje hapo kwenye supermarket kama siyo kwa kibali cha Rais wao? Ukiwa na ubongo ulioathirika na saccos ni shida!
 
Back
Top Bottom